Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Hivi ni vitu gani wanajamvi? Vina tofauti na DECI? Vinatofauti na zile stori za 'alikuwa kipofu sasa anaona; alikuwa kiwete sasa anatembea'? kindly update.
0 Reactions
77 Replies
19K Views
Wadau, nimeandika Kitabu cha somo la General Studies kinachoitwa " EXCEL in General Studies". Ni Kitabu cha maswali na majibu. Kuna jumla ya maswali 108 pamoja na majibu yake. Somo hili...
1 Reactions
2 Replies
898 Views
Habar wapendwa Mimi Nina mtaji wangu wa million 1 nataka kufanya biashara ya matunda soko la buguruni niwe natoa Moshi parachichi na ndizi nije kuuza hapa buguruni naomba mwenye uzoefu au...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada ni chimbo lipi zuri naweza kwenda kuchimba madini hasa ya dhahabu. Mkoa wowote au chimbo lolote nipo tayari kwenda. Kwa wale wachimbaji wadogo ambao mnachimba tayari naombeni...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Kichwa cha habari chajitosheleza. Wananzengo nimeamua kujiloweka kwenye madini ya Gold. Naomba msaada kwa yoyote anayemfahamu au kuifahamu kampuni hiyo. Njoo PM
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu, Nahitaji kufahamishwa jinsi ya kuanza uchimbaji mdogo wa madini bila mtaji. Karibuni wakuu.
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za humu, naomba kwa anayefahamu biashara ya Vito vya thamani Kama rubby na Tanzanite. Naomba muongozo nahitaji kufanya hii biashara. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habalini wakuu... Moja kwa moja naomba niingie kwenye maada...Ni mda nikisikia kua kuna uhitaji wa bidhaa za mjerumani, hasa pasi.... Je ni kweli pasi hiyo ukiipata ni Mali na soko likoje na liko...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Habari wadau..........Msaada wa sehemu naweza kupata machine ya kuprint tshirts na banners. Tuwasiliane kwa 0716199297
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari.. Nina gari aina ya Alphad, nafikiria niifanyie biashara ya kuikodi, kwenye shughuri mbali mbali,... Kwa wazoefu, naomba mnipe mbinu za kupata wateja, maana sina experience kwenye...
1 Reactions
5 Replies
998 Views
Habari za jioni wana jukwaa, poleni na majukumu ya kazi mimi elimu yangu ni form 6(PCB) nlifanikiwa kwenda chuo ila nilidisco kuanzia hapo napambana shughuli za hapa na pale nna uzoefu na...
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Kama mmeshindwa kuendesha kitengo cha Customer Care ni bora mkafanya outsourcing tukajua moja kuliko kuendelea na hali iliyopo sasa hivi kwasababu you guys are just pathetic and irresponsible...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau nataka kuanza biashara ya samaki nahitaji freezer kubwa itakayonisaidia.
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Wadau ni godoro gani ni bora kwa matumizi kiafya!?
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Msaada kwa mtaalamu wa madini je haya yanaweza yakawa mawe ya thamani ?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kichwa cha Mada kinajieleza Nawasilisha
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ubalozi wa Marekani hapa nchini umetangaza kuwa Kampuni ya Kimarekani, Ward Holdings Intl. itanunua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania kwa bei ya juu ya soko Ubalozi huo umesema taarifa hiyo...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Back
Top Bottom