✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile.
Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto.
🙏🙏 Naomba ni bainishe...
Nawasalimu wote na naomba nitangulize kuomba radhi kabisa kama ntakuwa nimeleta mada jukwaa sio sahihi.
Naomba kufahamu namna ya kupata ufadhili wa namna ya kufanya Utafiti na hatimaye kuandika...
Kwa niaba ya Benki ya NMB
Tunapenda kukujuza ndugu mteja/mwanafamilia ambaye upo kwenye kikundi chenye lengo la kusaidiana katika majanga kama kifo, tumekuja na Bima maalum iitwayo ( Group funeral...
Habari Wakuu niliibiwa simu katikati ya mwezi huu nikafanya maamuzi ya kubadili line sasa nilikuwa na deni la tigo niwezeshe la 160,000 lilipaswa kulipwa mwezi ujao.
Nauliza, je Tigo...
Wakuu leo tena minyama kama yooote.
Karibu Kibamba Chama mnada wa minyama ya mbuzi na Kondoo. Hata ukitaka [emoji200] unaagiza jirani tu
Nipo na dogo nimalizane nae nirudi Hospital kwa mshua
NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA
Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani.
Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata...
Adonai Aluminium tunatengeneza madirisha & milango ya aluminium and pvc. Pia tunatengeneza shower cabinet,hand rails, shelves na partitions.
Pia tunafanya kazi za rangi,skimming,wiring na tiles...
Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu.
Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni...
Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama Chanika?
Je bado ni mashambani? Je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa...
Kichwa Cha habari chajieleza je ni wapi naweza pata mabegi ya special ya wanafunzii kwa Bei pouwa ya jumla hapa dar es salaam
Note : Kama unauza onesha sample zake na Bei zakee ( Bei ya jumla )
"Vodacom" Ngoma ikivuma sana, mwishowe hupasuka.
Mbali na kuwepo mipango mingi ya baadhi ya watumiaji wa mtandao wa simu za mkononi wa Vodacom hapa nchini kuandaa wanasheria kwa lengo la kutaka...
Habari wana JamiiForums, naomba msaada wa utambuzi wa mawe haya naweza ikawa ni mawe ya thamani, kwa sababu
1. Ni mazito tofauti na mawe ya kawaida ukubwa huo
2. Ataukiyaga yana toa chembe...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kuagiza machine ya incubator hivyo kuna duka wanahitaji kuniuzia hiyo machine lipo China kupitia alibaba ebu nipeni uzoefu mliowahi kuagiza MZIGO nje...
habari Wana jamvi
Hongera bi LATIFA Kwa UTEUZI wa Kuwa mkurugenzi WA taasisi yetu muhimu ya biashara tumaini la watanzania ni kuendelea kutoa na kuongeza fursa za kibiashara nje ya nchi
Ombi...
Wakuu natumai hamjambo!
Naomba mwenye skills na experience katika biashara anisaidie mawazo, namna ya kuinua na kuifanya biashara changa iweze kustawi vizur na kwa kasi!
Tuweke utani pembeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.