Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Na wewe huwa unajiuliza swali hili au huwa unaogopa kujiuliza kwasababu unahofia kuona makosa yako? Ukweli ni kwamba wengi swali hili kulifanyia kazi huwa hatutaki kwasababu tunaona tutajiumiza...
2 Reactions
0 Replies
940 Views
Wakuu habari ni ivi niliagiza mzigo kutoka Ali Express ilikua tarehe 15 ya mwez wa 5 mwaka huu. Sasa ki kawaida mizigo ya standard shipping inakaa mwezi mmoja kisha una upokea posta ya mkoa wako...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari wanaJf, straight to the agenda. Baada ya kutafakari mwenendo wa vijana wa Tanzania nimegundua kuwa wengi ni wavivu wa kufikiria na ili ndio linalofanya wengi kujazana Dar badala ya kupanua...
27 Reactions
111 Replies
11K Views
Narudi kwenu wana jukwaa la Biashara, jukwaa lenye watu watashi wa kibiashara. Nategemea kupata Line zangu za uwakala wa biashara za MPESA, TIGO PESA, AIRTEL mwishoni mwa mwezi huu wa 8...
2 Reactions
43 Replies
12K Views
Hili swala la Wawekezaji kuja na Wafanya kazi wao au watalamu wao naona linafichwa fichwa sana sijajua ni kwa manufaa ya nani. Hatujui ni watalamu wapi hasa anatakiwa kuja nao au ni yeye anaamua...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Wadau naomba ushauri kwa mwenye uziefu na bihashara hii, nawaza kuanza bihashara ya viatu vya kike vya mtumba nilikuwa na waza kununua baloo la fist grade UK na kuuza rejareja kwenye duka langu na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ya majukumu wanafamilia wa JF, natumai nyote mpo wazima wa afya na poleni kwa walio wangonjwa. Nimekuja kuomba msaada wa mawazo ya kibiashara kwa mkoa au jiji lililo changamka katika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapi unaweza pata usaidizi wa mtaji just kwa kuwasilisha unachotaka kukifanya? Nazungumzia 40,000 mpaka 70,000 maana ndio pesa nayoweza kukopa. Nina mradi wangu unahitaji pesa.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Industries goods za Tanzania huwa hazipati nafasi Kenya na huwa zinapigwa vita mbaya mno, tofauti na Tanzania ambako zimejaa bidhaa za Viwandani kutoka Kenya. Nakumbuka bia za TBL zilipigwa vita...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nyumbani kwetu kijijini kuna shughuli ya usindikaji pombe aina ya gongo ambayo wanakijiji uifanya ili kuwaingizia kipato. Shughuli hii ni ya muda mrefu sana imefanywa toka enzi za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa, Nilikuwa naomba kujua zaidi kuhusu kampuni au watu wanaotoa huduma za usafi majumbani na ofisini. Jinsi ya kuanzisha, uendeshaji wake na changamoto zake.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba ufafanuzi kwa mtu anayeijua Pama fund
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari. Well nina eneo liko mbele ya barabara ya lami maeneo ya Kijitonyama nataka kufanya pawe kijiwe cha kuuza magari used....about (300 sqm au 350 sqm). Mwenye gari...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Waungwana Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa, elimu yangu darasa la saba mwaka 1998. Kijijini hukooo Isiman Iringa( v) Nilikua mzuri Sana class Kijiji kinanijua kwa UBORA wangu sijuagi...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
.Just got a chance to see some gems in the market please help me notice which type of green gems is this And what could be the price in the local market
0 Reactions
4 Replies
721 Views
Tupe wazo lako la biashara hapa mkuu. Ni hivi ikatokea umepata kiasi cha shilingi milioni 10,kwa haraka haraka utafikiria kufanya biashara gani?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi ni process ipi ifwate mpaka kusajili jina la biashara na ni kwa bei gani ili lisiweze kutumiwa na mtu mwingine. Mfano wa jina vunja bei.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa Kwa wahusika wachangamkie fulsa hii ya kiuchumi. Nimeileta humu kutokana na uhaba wa vitendea kazi katika shamba hili. Shamba hili linamilikiwa na sisi wananchi kwa 100% na...
3 Reactions
18 Replies
6K Views
Salaam kwenu wana JF, hususani jukwaa la biashara, chumi na ujasiriamali. Mwenzenu nimetingwa na nimekwama kidogo kwenye biashara yangu. Naombeni kujua ni sehemu gani nawezakupata mkopo wa...
4 Reactions
10 Replies
7K Views
Habarii wadauu natumaini mko poa. Nimeandika kwa haraka ila nita edit baadae. Hivi karibuni kuna mtu aliniulizaa kuhusu biashara ya pool table akaanza kunielezea ila kiukwelii nilikuwa sijuii...
3 Reactions
3 Replies
7K Views
Back
Top Bottom