Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Asalaam alaikum. Wakuu kuanzisha tenda ya "car wash". Nakuombeni ushauri ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wadau naomba kuuliza anayechukua bodaboda ya mkataba ili kumpelekea kilasiku hesabu Boss 10,000 anaweza kuingiza Tzs ngapi kwasiku akifosi kwelikweli, sehemu ya kazi mtoni kijichi.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kwà mda mrefu nimekuwa kwenye shauku ya kufanya biashara ya kuuza pafyume zile za bei kubwa kubwa kuanzia 10. na kuendelea zenye standard mzuri na kuimport mzigo from Dubai to Zanzibar then...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo nataka nigusie eneo tata na ambalo ni moja kati ya kitu kinatamkwa sana na vijana na watu wengine wanapotaka kufanya Biashara nalo ni ukosefu wa MTAJI. Mtaji ni nini? Ni uwekezaji wa mmiliki...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Kampuni ya utengenezaji wa body za mabasi nchini katika ubora wa hali ya juu ya DAR COACH, sasa inawatangazia wamiliki wa mabasi nchini na nje ya nchi kuwa imeshusha bei ya bus zake. Ushushwaji...
18 Reactions
264 Replies
61K Views
Wakuu naomba mnijuze juu ya kitu kinachoitwa pato la taifa huwa linahesabiwa vipi. Je ni majeti yetu? Madeni na makusanyo ya Serkali? Natanguliza shukrani. ======= Mchango wa Mdau Pato la...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu. Naomba kuelimishwa kuhusu credit card au visa card, upatikanaji wake na ufanyaji kazi wake kwa ujumla. Unaweza vipi kuzitumia kununua bidhaa mitandaoni? Shukrani.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimejaribu Kikuu, Mwanzani Sikuamin Kikuu Niliona kama Matapeli Kumbu Fikra Zangu hazikuwa sahihi. Sasa Nimesikia Kuhusu Ubuy kwa maana kuna Product haziko Kikuu ziko Ubuy na nimezipenda...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari, Mimi ni kijana wa kitanzania, ninaishi DSM.. ninajishughulisha na kazi za usanidi wa mifumo ya kompyuta (computer programming). Kampuni yangu mpya inaitwa sari technologies LTD. Je...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
ON ATCL i see a cul-de-sac situation. Baada ya the Famous long awaited CAG report na suggestions zake mpira unataka kurudi Bungeni deciding the Fate of our Beloved Wings of Kilimanjaro. Jambo la...
2 Reactions
2 Replies
762 Views
Wakuu habari, Leo nimekutana na mtu amenishawishi kuigeuza gari yangu binafsi kuwa uber, Naomba kufahamu je inalipa? Gari yangu ni mpya sio kwamba nina shida sana na pesa bali amenishauri kwamba...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Nikiwa nafuatilia mwenendo wa biashara ya ndege toka jana ni wazi kwamba mashirika mengi yanaendeshwa kwa hasara isipokua emirates peke yake mwaka huu. - Mwenendo wa emirates nkiangalia report...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni alhamis tamu sana kukiwa na hali ya hewa ya mawingu na ubaridi na kimvua hapa dar hakika napendaga hii hali sana. Ok niende kwenye mada unaweza ukapita mahali au kwenye masoko hapa dar unakuta...
4 Reactions
30 Replies
17K Views
Wakuu habari, Katika vitu vigumu katika biashara ni kufanya biashara uizoee na ikuzoee, pia ukiona biashara yako imesimama vizuri sana nina imani ni baada ya kipindi kirefu kupita Katika...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Hivi karibuni, mfanyabiashara na Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby ameingiza mabasi 12 ya kisasa aina ya Yutong. Inaelezwa kuwa, mabasi hayo ni ya aina yake nchini kwani yana mfumo wa...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari. Tumeanzisha Application ambayo tunauza vitabu vya kiswahili. Sasa kupata install kwenye app ni kazi ngumu sana. Tukaanzisha account instagram ambayo tunaweka vitabu na kuvipromote. Shida...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna watu wanafikiria kuanzisha biashara ya mikopo, wengine wameanza tayari ila wamekutana na changamoto nyingi sana na wengine ila wengine wana maswali mengi hukusu biashara hii Njoo nikushauri...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Naomba kujua upatikanaji wa dagaa nyama
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Maoni tu, Kuna Basata mpaka leo hawana music streaming app ambayo watu wanaweza upload content na kuuza na wao kupata kodi. Eg one record ikiuzwa for 100 Tsh which is reasonable, kwa watu 1m ni...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Back
Top Bottom