Habari za wakati huu;
Moja kati ya ya changamoto zinazowakaili wajasiriamali wengi huwa zinasababishwa na kutokuelewa hasa msingi wa muundo wa biashara yao(Business Model) Wengine huanza biashara...
Ni watu wachache sana ambao wanataka kufanya kazi mjini, kwa kuogopa kua eti vijijini mtu anachafuka, Ingawa ukweli ni kwamba kwa mtu ambaye anapenda kilimo ni rahisi sana kukaa vijijini zaidi...
Wakuu Nahitaji Kuanza biashara ya Ku print T shirt ila kwa bahat mbaya bado sijajua sehemu wanapouza T shirt plain Zenye bei nafuu ambazo nikiprint Zitaweza kunipa faida...so nilikua naomba kujua...
Habari wanajukwaa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kufahamishwa nihatua zipi natakiwa nifuate ili nifungue ofisi ya bima mabalimbali, za magari na pikipiki, pamoja na bajaji.
Ofisi...
Kwa kweli nimekua mtumiaji wa huduma yao ya mobile banking tangu ianzishwe...tatizo kubwa ni DELAY...hela ikiamishwa kutoka kwenye akaunt yangu kuja labda mpesa itakaa weee hadi usahau...wakat huo...
Just in case you didnt know, under the international law, airspace is a natural resource which belongs to countries just like land, water, minerals, forests, et cetera. In other words, a big...
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na taasisi ya AfrAsia Africa Wealth Report 2019 , Imeyataja majiji 10 tajiri zaidi barani Afrika.
Lagos, Nigeria
Kwenye orodha hiyo ambayo imetawaliwa na majiji...
Kweli ukibweteka wenzako wapo mbali.visa vingi ambavo marekani kushutumu nchi ya china kwa teknolojia zake.
China kwa sasa ndio mwenye hatua kubwa katika teknolojia ya mawasiliano .mfano...
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na
kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika
Halmashauri...
Wazo la biashara ya MAZAO na MIFUGO
Niende moja kwa moja katika mada, nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu masuala ya mazao na mifugo na katika hayo nimepata taarifa muhimu sana na nikaona nisiwe...
Heshima kwenu wakuu. Serikali ya Rwanda imesitisha mishahara kwa watumishi wake. Hii iliniwashia alarm toka tu mapema kama miezi 2 nyuma. Kwamba pengine sisi hapa ikatokea kama rwanda.
Akili...
Habari za wakati huu;
Wengi huwa wananiuliza kwa nini huwa napenda kumwambia mtu aje PM pale anapohitaji ushauri wa kibiashara na uwekezaji.Ni kwa sababu hakuna solution ambayo inawatosha watu...
Natumai muwazima wanaJf,
Naomba kujua jinsi ya kutumia mzani wa digital. Mzani una-menu ambayo inaonesha unarahisisha hadi hesabu ya bei kulingana na uzito.
Display yake inaonesha namba na...
04/12/2017 By Pascal Mayalla Trademark East Africa launches women and trade drive
Nairobi, December 04th, 2017:
Trademark East Africa (TMEA) has today launched a women and trade...
Habarini wana Jf nimeamua kuanzisha uzi huu ili kuweza kupata uelewa zaidi kutoka kwa wale member ambao wamesha jaribu kufanya shughuli hii na wale ambao bado/wanaendelea kufanya mpaka sasa
KAMA...
Helow wanagrupu Mambo vipi, Leo Niko na Hili ,, je vijora hupendwa nje ya Dar es Salaam?
Niko katika research.
Naombeni ushauri wenu.. Nina malengo ya kufanya biashara hii mkoani
Picha kutoka fb
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.