Kama kichwa cha habari hapo juu,natarajia kuja Dar es Salaam,nitakaa kama week mbili kwa ajili ya manunuzi yangu,ninahitaji ac kama tatu hivi,ni wapi hapo jijini nitapata air condition nzuri kwa...
Habara wana JF, mimi nipo Mbeya ninaomba kujulishwa bei za mahindi na maharage Dar es salam, nitashukuru sana kama nita julishwa bei za mazao hayo asanteni.
GTs,
Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii...
Can I be painfully honest with you?
No, not thank-God-he-told-me kind of honesty, where someone points out a gutter in front of you in the middle of the night.
It’s brutal, bitter, and downright...
Habari wakuu naomba kupata taarifa ya bidhaa hii katika ardhi yetu ya Tanzania
Kwa maana ya mkoa husika Na wilaya lakini pia itapendeza zaidi ikipatika video au picha ya bidhaa hii
Ahsante
Samahani wana jamii,,,,kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi ya kuprint Nguo kama T shirt, kofia, N.k anichek Whatsapp kwa namba hii 0784293629 au kawaida 0753327586 Nahitaji anifundishe ndani ya...
Habari.
Jamani nina rafiki yangu kapata bahati ya kwenda nchini malaysia anaomba ushauri aje kufanya biashara gani akirudi bongo hivi karibuni?
Mwenye idea ya biashara yoyote inayolipa atuambie...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Tujuzane bei ya mahindi kwa kipimo cha debe.
Kwa mkoa wa Ruvuma, wilaya ya Namtumbo, bei ina range elfu 6 hadi elfu 7 mia 5.
Je, huko kwenu...
Salute wakuu
Mtaalam wa marketing, mimi namuita genius kabisa kutoka marekani, SETH GODIN aliwahi kusema "ideas that spread win"
Na ukiileta ktk uhalisia wetu wa biashara na ujasiriamali, ni...
Kama ilivyo mitandao mingine tigo nivushe,voda songesha pia nimeona halo mkopo,lakini hawa halo mkopo...Mbona kila siku wanadai huduma hii itakujia punde...Vp tatizo ni nini...Finca mnafeli wapi
Habari.
Nategemea kufungua ofisi ya kurekebisha vifaa vya electronics kama Redio, TV, Subwoofer, Feni, Pasi nk. Naomba kujua nahitaji vifaa gani vya kisasa vya kuwezesha kufanya ufundi wangu uwe...
Habar zenu wadau,
Mwenye uelewa na hii biashara ya kuhudumia mawakala wa huduma za kifedha, huku nilipo mawakala wengi ni wa airtel money, unakuta wakala hana kabisa flot ana cash pekee au ana...
kama unataka kufanya biashara sehemu hiki ni moja ya vigezo vya kuzingatia.
10.zanzibar watu 223,033.
9.Tabora watu 226,999.
8.Kahama watu 242,208.
7.Tanga watu 273,332.
6.Morogoro watu...
Napenda kuwapongeza kwa huduma mlizonazizito kupitia mtandao wenu. Lakini ni muda sasa takribani wiki 3 huku Serengeti tumekuwa tukiweka bundle lakini ni Kama zinapotea bure maana mtandao uko...
TANZANIA imekuwa Mshindi wa Tatu kupata Tuzo za Taasisi zinazosimamia Biashara Duniani (WTPO 2020) katika kipengele cha matumizi bora ya ushirikiano katika huduma ya kliniki ya biashara...
Fiscal incentives offered by Rwanda when you invest in Agriculture:
Duty-free importation of all inputs
Tax exemption for agriculture equipment
50% reduction in corporate income tax, if you are a...
Habarini wakuu polen na pilika za kampeni hizi zinafurahisha na kuhuzunisha pia .
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujuwa kwa uhitaji wa huduma za IT kwa mkoa huu ikiwemo kufanya...
Wakuu,
Mimi naomba utofauti wa hayo maneno kwa nini kitu kilekile na kinachofanya kazi zilezile Kenya na Uganda zinaitwa SACCO hakuna “S” kwa mbele wakati huo Tanzania zinaitwa SACCOS kuna “S”...
Habarin za sahiz jaman kuna ka birthday ka mtoto hiv karibuni.
Nilikuwa naomba kuelekezwa kwa hapa Dar, studio inayofanya photoshoot na kuandaa background kama mfano wa picha niliyo attach hapa...
Watu wengi hushindwa kufahamu kwa hakika faida za kuwa na website kwa ajili ya biashara zao.Matokeo yake wengi wao hujikuta wakipoteza fursa ya kupata wateja na kujipatia kipato au kukuza biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.