Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hapa ndo serikali inapobugi kabisa na elimu inafeli kwa sababu inafanya vitu visivyo na tija Nimeona semina zimeanza za utekelezaji wa mtaala mpya lakini wanaoitwa kwenye semina za moja kwa moja...
0 Reactions
4 Replies
919 Views
Ukitaka kujua ubovu wa elimu ya Tanzania take a time mara moja moja upite ukague mazingira ya shule hizi. 1 Shule hazina usimamizi hata kidogo, hata uliopo ni mbovu kupindukia. 2. Wanafunzi...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Maana tumeambiwa kitabu ni 200K. Msaada plz it's urgent
0 Reactions
14 Replies
910 Views
Rejea kichwa hapo jui,uzi huu ni maalum kwa ajili ya wanafunzi wa Open university of Tanzania kutoka popote ulipo Tanzania na duniani kwa ujumla. Tukutane hapa kujadili mambo mbalimbali na...
3 Reactions
114 Replies
26K Views
Wakubwa zangu ambao mmeshatangulia naombeni ushaur naenda kusoma BAF mzumbe lakin me diploma nimesoma insurance and risk management. Sijawahi kusoma account pia naenda kumeet na challenge ya watu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba kuuliza je page ya kusaini ya kuapeal inatakiwa kusainiwa na muhusika bila ushibitisho wa mamlaka flani ka mahakama, mwenyekiti au mtendaji. Msaada tafadhali
0 Reactions
6 Replies
943 Views
Habari ya asubuhi, naomba msaada wa vyuo vyenye ada nafuu kwa kozi tajwa hapo juu Mbarikiwe
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Samahanini viongozi nilipenda kufaham kwenye ukataji wa RUFAA mwaka huu Kama hapo awali ulikosea taarifa zako eg, education info's mfumo unakuruhusu kufanya marekebisho. Nitangulize shukrani...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Wakuu nmekuta hii taarfa kwenye account yang naomba nijue maana yake hasa ni nn?
3 Reactions
778 Replies
69K Views
Wakuu poleni na mapambano. sitaki niwapotezee wakati niende moja kwa moja kwenye mada. Kilio changu ni upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2023/2024 kumegubikwa na utata mkubwa...
20 Reactions
253 Replies
16K Views
Tunatoa wapi elimu yetu au msingi wa elimu na mafundisho yetu ni nini? Hili ni swali muhimu katika kuelewa: moja elimu yenyewe, na pili mafundisho yanayotolewa na hiyo elimu. Katika kuelewa elimu...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Habari wanajamvi ?? Wanajamvi mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne mwaka jana(2016), ufaulu wangu katika masomo ya sayansi ni mzuri hivyo nina mipango ya kwenda Advanced...
6 Reactions
109 Replies
17K Views
Chagamoto kubwa tunao kabiliana nayo katika shule za advance za serikali ni ufundishaji duni katika advanced level licha yakua waalimu wa sayansi wapo ila watoto hawafundishwi ipasavyo, kweli...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Imetangaza Programu ya Kukuza Ujuzi Nchini inayowezesha nguvu kazi ya Taifa kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki ili kumudu ushindani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Mwenye kitabu hicho cha David Yallop kwa muundo wa soft copy naomba sana. Nasikia ni kitabu kinzuri mno.
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Wadau ningeomba kupata muongozo wa kufanya coding from scratch . Umri 35yrs hii safari ya programming itawezekana kwa sababu nia ipo. Kama kuna forum yeyote naweza kupata instructions . Self...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Nimemaliza form four, nina ufaulu wa division 1.16 Biology A Chemistry A Physics C Ninawish kusoma afya course ya clinical medicine. Je kwa hali ya ajira sasa hivi inaweza kuwa niko sahihi...
9 Reactions
111 Replies
14K Views
KAMISHENI YA MIKOPO TAHLISO 06/11/2023 MASWALI YANAYOULIZWA KUTOKA KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO WALIOOMBA MKOPO, ( CONTINUING STUDENTS ) 1. Mimi ni mwaka wa pili nimeomba mkopo lakini...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Habari wanaJF! Niwaombe radhi kwa kimya kirefu hapa JF tangu 2016, kwani nimiongoni mwa Wadau wakubwa wa jukwaaa hili. Awali nilikuwa natumia acc kwa jina Burhani Kassimu, ila kwasasa nina hii...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hi wakuu. Ebwana nahitaji vitabu vya hadithi za willy Gamba na vingine vya dizaini ile. Nitavipata wapi?
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Back
Top Bottom