Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa wale wajasiriaardhi inatakiwa kujua hii mamboi ili kuepuka kuibiwa. ekari moja ni sawa na eneo lenye ukubwa wa mita za mraba elfu nne (4000m2) mfano.viwanja vingi vya mpira huwa na urefu wa...
13 Reactions
19 Replies
128K Views
Habari wakuu!! Mimi ni member wa NBAA nilijisajili mwaka 2011 wakati ule tunafanya module e na f sikufanikiwa kumaliza nikawa nimepiga masters toka kipindi hicho hadi sasa sijawahi fanya tena iyo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Samahan wakuu Nmechaguliwa kusomea DIT Mining Engineering samahani nilikuwa unaulza ipo je kwa soko la ajira kwa saivi?
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari. Jina langu ni Daniel. Ni mtaalamu wa lugha ya Kiingereza. Nafundisha Kiingereza Cha kuongea na kwa muda mfupi tu ukijiunga na kozi yangu utajua Kiingereza vizuri. Nakufata popote ulipo kwa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kipindi kile ukipata wastani wa 81 Na kuendelea Kwenye masomo yote unasoma bure ila iyo mitihani ugumu wake na usahihishaji ulivyo Strict wacha kabisa, mnamkumbuka Laurent shilingi aliyesemekana...
1 Reactions
1 Replies
776 Views
Wakuu habarini za majukumu? Ndio muda muafaka wa Mimi kuanza kusoma master degree ili niweze kuingia cheo Cha principal 2 . Nimechukua maamuzi haya baada ya kukamilisha ndoto zangu nilizopanga...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Poleni na majukumu Wakuu,hoja muhimu ni kwamba Imekaaje chuo Chuo kikubwa nchini kam UDOM kukosa kozi tajwa hapo juu ,ikizingatiwa ni chuo chenye uwezo wa kubeba wanafunzi wengi Tanzania.Kwanini...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Elimu nchini Tanzania hutolewa na sekta zote mbili, yaani, sekta za serikali na binafsi. Muundo wake kiujumla ni kama ifuatavyo:[ 👉Miaka 2 au 1 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
Sometimes kumbukizi za zamani zinafurahisha! Nakumbuka hadithi tamu nilizosoma nyakati zile! Moja ya ambazo sizisahau ni story ya Ali! Ali ni mtoto mtundu Alisikia kwamba, ukifuata nyuki utakula...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari za mida wakuu, nakwama kwenye registration number za cheti na diploma
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa Elimu, naomba msaada kuelimishwa/kueleweshwa kuhusu upangaji wa DIVISION baada ya kufanya mitihani ya NECTA O'level (form IV) Natambua ni lazima ufanye masomo saba ili uweze...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba msaada kwa anayeelewa Degree ya Metrology and Standardization sehemu atazoweza kufany kazi pamoja na basic salary yake.
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Habari wadau wa JF? UDSM ina hostels Ubungo karibu na Mic hotel au Ubungo bus terminal ambazo ni kwa ajili ya Masters na PhD students. Naomba kuuliza utaratibu iwapo mwanafunzi wa Masters...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Nilikuwa naomba kuuliza kwa credit za masomo haya naweza kusoma course gani chuo kwa ngazi ya diploma? KISW - D ENG - C GEO - D CIV - D CHEMI - D PHY - F BIO - C MATH - F...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
𝗨𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗦𝗶𝗺𝘂 Karibu asilimia 52% ya Watumiaji wa simu za mkononi (smartphone + Simu za kawaida) Wameathilika na ugonjwa wa kupenda sana Simu. Najua wewe ni mmoja wapo ? Najua akuna...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anaelewa utaratibu wa kujiunga na chuo cha police naomba anipe ufafanuzi wakuu.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani Bodi ya mkopo wa Elimu ya juu mbona mnaweka vigezo vya kunyanyasa/ kuwakandamiza wanafunzi waliopitia mfumo wa Diploma? Kunufaika na hizo pesa ambazo baadae wanazirudisha. Hicho kipengele...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari za muda huu wapendwa! Hii kozi ya Biotechnology and Laboratory sciences ni nzuri? kama ndio je mhitimu anakuwa expert wa field gani? na huwa inatumika wapi sana sana? Naombeni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa nini hakuna Combination ya ECA kwenye special school za shule za wasichana?. Kwa kweli inakera na inakatisha tamaa kwa wanafunzi na wazazi. mtoto kapata div.1.7 akiwa na AAA kwenye hesabu...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom