Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tunaamini na tunafahamu lengo la debate ni kuwafanya wanafunzi wawe na uwezo wa kujiamini kuongea mbele za watu, kujenga hoja zenye mashiko na kuongeza uwezo wao wa kuzungumza lugha kwa ufasaha...
1 Reactions
3 Replies
636 Views
Habari wana JF kwenye jukwaa la elimu, kma title inavyojieleza hapo juu. Mm ni mhitimu wa F6 mwaka 2022, bahati nzuri au mbaya matokeo yangu hayakuweza kuruhusu nijiunge na degree nlipata (DEE)...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona...
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Hello habarini wanajamv, poleni na majukumu ya kila siku. Miaka ya nyuma niliomba ushauri humu humu jukwaani kuhusu wadogo zangu wawili wa kike, ili kulipa fadhila ya msaada niliopewa kielimu...
0 Reactions
6 Replies
587 Views
Nipeni uzi wanaojua kuhusu kozi ya mechatronics
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu watanzania katika jukwaa hili, Kwa mambo yanayo endelea sasa katika taifa letu ni wazi somo la sheria halinabudi kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi na iwe lazima. Mpaka muda huu...
2 Reactions
0 Replies
325 Views
Habari zenu kuna mdogo, wangu kapata two ya 10 alikuwa anasoma PCB, ni kozi gani anaweza kusomaa?
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Jambo Jambo? Katika Tasnia nzima ya habari(upande wa luninga na redio) huwa nafurahishwa sana na hawa vijana wawili wakitokea stesheni ya STAR TV, Huwa wana udhubutu wa kuuliza maswali magumu kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama ulikuwa hufahamu: Leo ni siku ya nyoka duniani: Siku hii maalumu inatumika katika kuongeza elimu juu ya Nyoka: Siku ya leo pia inatumia kutoa elimu na kuongeza upendo kwa nyoka na kuondoa...
0 Reactions
1 Replies
645 Views
Salaam Wadau wa Elimu, Naomba msaada, nataka nihakiki cheti cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nini jamani? Nipeni mbinu Please.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
2 Reactions
7 Replies
581 Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo moja wapo hapa Dar ila cha afya and hichi chuo ni cha binafsi so cha serikali. Mwaka Jana nilimaliza mwaka wangu wa pili lakn kwa bahati mbaya nkapata sup. Nilivyopata...
0 Reactions
2 Replies
228 Views
Habari Wanajukwaa Ni matumaini yangu kuwa mu wazima bukheri. Kuna tangazo moja la redio la malaria huwa linanivutia sana, mtoto anamuuliza baba yake kuhusu ndege inavyoweza kupaa angani. Mzee...
86 Reactions
695 Replies
125K Views
.
1 Reactions
2 Replies
500 Views
Nimekutana na hii content eti Ukienda chini ya bahari kwa wale watu wa marine tourism (Utalii wa maji), unaweza kufa kwa kupasuka ata ukiwa kwenye chombo maalumu.
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, Combination ya PGM Ina shida gani maana naona mwanafunzi akisema anasoma hio anaambiwa ajitafakari Mara mbilimbili au Kama Ana hela aendelee. Shida ni Nini katika hii comb...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wakuu, Niende kwenye mada moja Kwa Moja, Mimi ni Kijana miaka 23. Nipo moja ya chuo kikuu Cha kanisa Fulani . Nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi. Naomba kuuliza je nikiwa na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha sita 2023? Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Msaada, Ni course gani nzuri ya kusoma Chuo Kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma PCM advance kwa kuzingatia soko la Ajira nchini. Nitashukuru kama ukinitajia course na unakua nani baada ya kumaliza...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ukiondoa priority course(kozi pendwa) Kuna hizi kozi zenye upana wa Ajira, Upande wa Afya na uhandisi. Electronics& communication (Self) Computer &IT Civil Eng, Electrical Eng, Mechanical Eng...
1 Reactions
9 Replies
14K Views
Back
Top Bottom