Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Madhara ya kupunguza viwango vya ufaulu wa masomo huzalisha ujinga mkubwa katika Taifa. Elimu ni jambo la kupewa kipaumbele katika Taifa kwasababu inaondoa ujinga na kuleta maarifa. Yapo mataifa...
1 Reactions
4 Replies
443 Views
Nimepangiwa HGK ila mm nahitaji PCB ambayo Nina points 9 je naweza kubadilisha?
0 Reactions
2 Replies
347 Views
Habari wapendwa, Naomba ushauri nina kijana wangu alimaliza A level mwaka jana ila ilishindikana kwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali.Alipata division 1.6 PCB na alipata B flat. Naomba...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali rejea kichwa Cha habari tajwa hapo juu. Nina mdogo wangu amemaliza form four anataka aende kusoma diploma ya C.O, je chuo gani ni kizuri nimsaidie kuapply? Namaanisha uzuri wa...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakuu naomba kuuliza ukipata chuo alfu Kama hukuenda kabisa then mwaka ujao unaweza kuaply upya ?Na je, hamna effect yoyote kwenye mkopo?
0 Reactions
3 Replies
455 Views
Hiivi naweza kubadili kozi ya kusomea maana nmepangiwa DIT na serikali. Je, naweza kubadili kama nkifika chuo, inawezekana? 🤔
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nawasalimuni nyote! Naamini mu wazima. Naomba msaada wa kupata ushauri kama ifuatavyo;- Niliomba Scholarship nchini China kusoma Master of Public Administration na pia niliomba nchini Ujerumani...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba...
12 Reactions
146 Replies
42K Views
Habari zenu wana jf katika jamvi ninaomba msaada juu ya matumizi ya scientific calculator o-level, advance mpaka chuo.
0 Reactions
3 Replies
477 Views
Nilikuwa napitia hapa orodha ya Wanafunzi wa Nje ya Tanzania walio anza masomo katika mwaka huu wa 2022/2023 katika shahada za azamili (masters)na uzamivu(PhD)-full time kwa Chuo Kikuu cha Dar es...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Anyone who knows how to deal with these circuits when the cells also have the internal resistance?
2 Reactions
7 Replies
825 Views
Kama mzazi una mtoto wako amemaliza chuo kisha anakuambia anabaki anatafuta ajira. Kemea kabisa hilo pepo na mwambie haraka sana arudi nyumbani kazi atatafuta akiwa nyumbani ikishindikana mfuate...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Hello comrades, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Naombeni sana ufafanuzi. Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Wakuu poleni kwa majukumu, Naomba sana msaada wa kujua kuhusu kozi hii, maana nimejaribu kuingia kwenye website ya chuo cha NIT ili nipakue lakin prospectus yao nimeikosa kabisa hivyo nimeshindwa...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Sijawahi sikia Manesi au mapolisi au Watendaji wakijengewa Nyumba au Mabwana Shamba,Kila siku ni Walimu tuu.. Je walimu ndio Watumishi saaana kuliko wengine?
0 Reactions
8 Replies
828 Views
Kwa yeyote mwenye changamoto na anataka kusoma masomo ya Fizikia au Hesabu kwa kidato cha kwanza hadi sita awasiliane nami.
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Kuna Tahsusi hata sielewi manufaa yake hasa ni yapi katika ujenzi wa Taifa
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nahitaji kufahamu yafuatayo kuhusu chuo cha VETA Mara. 1.Chuo kinatoa mafunzo ya Ufundi bomba (Plumbing and Fitting)? 2. Iwapo kozi hii ipo. 3. Sifa za kujiunga ni zipi gharama zake zikoje? 4...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakubwa shikamooni!! Wanajamvi naleta huu uzi mwenye kujua hii course ya B.A.Economics ya UDSM anieleze ina opportunity zipi za kazi kwa sababu mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na...
0 Reactions
45 Replies
10K Views
Back
Top Bottom