MREJESHO:
Nimefanikiwa kusaidiwa kupata field wakuu, mungu awabariki wote mliotoa mchango wenu wa kimawazo katikabuzi huu. 🙏
Wakuu habari za wakati huu,
Wakuu habari za wakati huu, Nakuja...
Wazima wana JF,
Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu.
Nina umri wa miaka 31. Nilimaliza shule ya msingi miaka 18 iliyopita sikufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na masomo ya...
Habari za muda huu,
Bila kupoteza muda nimekuja kijana wenu kuwaomba msaada namna gani naweza kuandika field trip report, vitu muhimu vya kuzingatia na n. k.
Nimetembelea ufugaji wa jongoo...
Habari wanajukwaa la Elimu
Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua ktk level ya degree
Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,
Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu.
Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata...
Habari ninaomba kujua pia.
Je, mikopo iliyotangazwa na serikali katika vyuo vya kati imeshaanza kutolewa?
Maana kuna wengine tulishindwa kuanza masomo kwasababu ya kukosa ada kwa hiyo nategemea...
Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26.
Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe.
Hii sababu haikuwepo na haipo...
Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa haraka. Imebaki wiki mbili wanafunzi wa kidato cha tano wa Report lkn nimepata kesi ya dogo mmoja hapa anahitaji msaada wa haraka maana ni kama...
Kwa matokeo ya A level
III
G/STUDIES - 'S' GEOGR - 'D' ADV/MATHS - 'E' ECONOMICS - 'E'
Anaweza kusomea diploma ya LABORATORY SCIENCE AND TECHNOLOGY
Au kwa jinsi mnavyoona nimsomeshe nini...
Jamani kwa wale wazoefu,je mwalimu mwenye degree ya elimu anaweza kupata cheti Cha ustawi wa jamii ili afundishe shule yake ya chekechea??
Maana wakaguzi huwa wanavihitaji wakati wa ukaguzi.
Je...
Salaam Ndugu zangu!
VITABU vya History vya Mwl. Bakari Madaya ndivyo vinavyoweza kujibu maswali yote ya NECTA bila kuacha swali hata Moja.
Ni VITABU hivyo tu ndivyo vyenye content zote zilizopo...
Hello,
I’m observing the trends of some O-level graduates ditching A-level selections for NACTVET.
Some have 9 A’s. What went wrong in A-level ?
Shouldn’t the MoE scrap A-level subjects or...
Effective Communication Skills
Growing better communication habits for the future means practicing effective communication skills and being a powerful communicator. But what are the examples of...
Enyi Watanzania hadi lini mtadharau walimu?
Walimu Hawa wanao fundisha watoto wenu Kila siku mnawaona kama maskini, roho yangu inauma sana.
Hii dhambi ya baadhi ya wapumbavu na wajinga kudharau...
Wakuu heshima kwenu. Hali ya ajira imekuwa ngumu baada ya kukaa mtaani na fani yangu ya Bachelor of human resource bila ajira nimeona nijiongeze nifundishe ata kingereza tuition angalao mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.