Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua...
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya sifa zinazotakiwa ili kujiunga na chuo kikuu huria Tanzania kwa shahada ya kwanza katika elimu(first degree in education).na pia sifa za stashahada(Diploma) ya...
Habari!
Mimi nimemalza Diploma ya science and Laboratory Technology, natamani kwenda kusoma bachelor of science in chemistry MUST au nsome ualimu wa physics na chemistry MUM? Naombeni ushauri wenu.
Habari wana Jf, nawasalimu kwa jina la JAMUHURI. Nisipoteze muda ngoja niende kwenye mada yangu wakuu
Mimi ni kijana wa kitanzania naishi Mwanza nilibahatika kumaliza masomo ya kidato cha nne...
Habari zenu wanajukwaa hili?
Bila shaka hamjambo?
Aise naomba niende straight kwenye point mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Shinyanga.
Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati nzuri...
SERA MPYA YA KUSIMAMIA AJIRA YA WALIMU IFIKAPO SEPTEMBA 2023
Wasalaamu wapendwa, natumaini tuwazima wa afya!
Nimesikia chama cha Walimu kimepinga vikali. Mimi nadhani kuna mambo tunachanganya...
Nilisoma HGE nina B-history C-Geography na D-Economics E-Bam.
Wale wazoefu na soko la ajira na muelekeo naomba mnishauri Degree gan ni nzuri kusoma chuo
Naombe munieleweshe kuhusu hiya kozi sina idea nayo ila nmepata hiv Geo C kisw C bio C hist C eng D phy D chem D civ D math F
Naomba ushauri niende kozi ya Human Resource Management au...
Naomba anayejua utaratibu wa kumuhamisha mwanafunzi aliyechaguliwa kuingia kidato cha tano PCM katika shule za bweni za serikali kutoka (mikoani) kumpeleka shule ya kutwa (day) hapa Dar es Salaam.
Haki ya kupata Elimu ni ya msingi kwa kila Mtu na inatambuliwa na Mikataba ya Kimataifa ya #HakiZaBinadamu. Haki hii inahakikisha kuwa kila mtu ana fursa sawa ya kupata elimu bila ubaguzi wa aina...
Mwanangu kasoma masomo ya sayansi na yote kafaulu kapata c 3 ya math, phizikia, kemia na biolojia kapata B lengo alitaka kuwa injinia au daktari
Sasa wamemchagua hkl nifanyeje wakuu maana analia...
Habari wananzengo!
Naomba kujua kwa Arusha mjini je, ni vyuo gani vinatoa kozi ya records management na Human resources pamoja au Public Relation? Msaada tafadhali.
Habari wakuu...??
Kama kichwa kinavyosomeka ningependa kupata msaada wa kujuzwa kuhusu Mambo yafuatayo:-
1. Je Kuna kozi za postgraduate degree na Kama jibu ni yes zipi sifa za kujiunga nazo na...
Samahani Wana jf,
Naomba mnisaidie vitabu vyakusoma katika utafiti wangu unaohusu Ukoloni na Ukoloni Mambo Leo na jinsi yakujinasua katika minyororo hiyo kwa maendeleo ya Africa.
Asanteni
Haya matokeo ndiyo hayo yametoka!! Kila kitu hadharani, sasa ukiwa hapa JF ndo mpango nzima!! Manake watu washaanza kuhoji, mi nina hiki au kile nitafanyaje, haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo...
Habari wakuu! Nimeona majadiliano mengi kuhusiana na maamuzi ya necta kutofanya Ranking!! Mm kwa utafiti wangu nitumie nafasi hii kuwapongeza necta kwa maamuzi haya! Kimsingi hayawezi...
Ndugu zangu mwenye join instructions za kujiunga kidato cha tano shule ya sekondari MASONYA iliyopo RUVUMA anisaidie tafadhali. Nimetazama kwenye website ya wizara hakuna info yoyote.
with much...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.