Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari, Mimi ni kijana niliyefanikiwa kuhitimu diploma ya uuguzi na ukunga. Na nimeweza kufanya kazi sehemu mbalimbali kwenye mashirika na hospitali binafsi na serikalini. Kiukweli nimekuwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Shule ya kwanza matokeo ya kidato cha sita, Kemebose kutokea Kagera Tanzania wakisherekea matokeo yao kwa kuzunguka mji mzima!. Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu habarini! Nimekuja kwenu niweze kupata ushauri kwani waswahili husema " mficha maradhi kifo kinamuumbua" Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 , nilihitimu Elimu ya kidato Cha Sita mwaka...
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Moja kwa Moja kwenye mada. Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii. Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Habarini wana JF, Kama kuna mwana JF anajua labda kuna shirika au kampuni inazamini (fadhili) masomo ya stashahada (diploma) ya ualimu kwa masomo sayansi naomba msahada tafadhali mana kuna kijana...
1 Reactions
5 Replies
380 Views
Ipi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St.francis ? Bora kusoma wapi kati ya hivyo
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Kwa wale ambao wangependa kuimarisha maarifa yao zaidi, kuendeleza taaluma zao, wanafunzi kupata darasa za uhakika toka wataalamu wabobezi mbalimbali nakupata maarifa mapya kwenye almost field...
5 Reactions
20 Replies
6K Views
Wasalaam... Nilikuwa naomba kujua utaratibu ukoje kwa wanafunzi wanaotaka kuhama chuo kimoja kwenda chuo kingine. Conditions 1. Course ni ile ile, let say natoka DIT nikiwa nimesoma mechanical...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
#mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM. Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu salama? Nina mdogo wangu anasomea Kenya kwa ufadhili wa kanisa sasa mwaka huu anahitimu darasa la nane. Nilitaka akimaliza aje aendelee huku na masomo ya sekondari. Naomba kujua yafuatayo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajukwaa, Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne Alipata ufaulu wa Division 2 na alisoma masomo ya Sanaa(arts) Kapata selection ya chuo cha uhasibu Dar es salaam (TIA)...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters. 1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management. 2. Ya pili MS in Finance and Economics. 3. Ya tatu ni Ms in...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wakuu, nauliza kiasi gani kinatolewa kwa ajili ya fedha ya kujikimu kwa walimu wapya mwaka 2023?
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Bonjour, Nilisoma HGL. Naweza kusoma Diploma ya IT? Na kama inawezekana chuo gani kizuri Kwa field hiyo Kwa hapa Dar. Je, katika IT ni specialize kwenye mambo yapi at least Kuna soko la ajira...
1 Reactions
6 Replies
974 Views
1. Advertisement-linatamkwa 'Advatizment' na siyo 'Advataizment' 2. Pharaoh-linatamkwa 'Fero' na siyo 'Farao' 3. Answer-'ansa' na siyo 'answa' 4. Hour-'awa' na siyo 'hawa' 5. Chaos-'keos' na siyo...
32 Reactions
229 Replies
28K Views
Habari za asubuhi ndugu zanguni Naomba mwenye vitabu vya ujasiliamali vya kiswahili na kingereza soft copy naomba atupie hapa nitakushukuru Sana.
1 Reactions
1 Replies
565 Views
Kuhusu kati ya kozi ya Procurement and Logistics Management na Business Administration nichague ipi? Na faida nitakazopata baada ya kuhitimu na ipi ni rahisi kupata ajira?
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau, Nina mwanangu yupo darasa la 3 shule zetu hizi za kisasa, English medium za kati. Nimepata wazo la kumuhamishia Kenya. Kumtafutia shule nje ya nchi ni ili apate elimu...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Mie nimemaliza Advance kitambo, sana walimu nisaidieni. Mdogo wangu amechaguliwa kwenda kusoma pwani Kwa wazaramo, advance na kombi ni PCB. Nimegoogle shule nikakuta matokeo ya mwaka Jana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom