Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Napenda kuwakumbusha Kuwa Majengo ni shule ambayo Sita sahau mana nilijifunza Mengi kupitia Broo Lyimo nimemmiss sana Kama wewe ni wa Majengo tukumbishane chochote kuhusu shule yetu wadau.
0 Reactions
49 Replies
18K Views
Wadau habari za muda poleni na majukumu na changamoto za hapa na pale zikiwepo za mkataba wa kubinafsisha bandari kwa DP world. Mambo yasiwe mengi, nimevutiwa na Course ya Public Health...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana, Salaam! Ninahitaji kumpeleka mwanangu chuo binafsi kwa ajili ya kusomea Computer Science chuo cha SAUT - Mwanza. Kuna mwenye uelewa wa kiwango cha ada kwa mwaka ikoje kwa kozi hii?
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni kauli mbiu ya Chuo Kikuu Mzumbe S.L.P.1 Mororgoro, Tanzania. kutokana na hii kauli mbiu imewafanya viongozi wengi ambao wamepitia katika chuo hiki kuwa na hamu pamoja na uchungu katika...
3 Reactions
1 Replies
781 Views
Salaam wakuu! Naomba kujua ni shule zipi bora kwa masomo ya Physics, Chemistry na Biology (PCB) kwa A-level. Mwanafunzi ni wa kike, kwahiyo shule inaweza kuwa mchanganyiko au girls tu. NB...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kuuliza mfano mimi nimemaliza kidato cha nne 2010 naweza nikarisiti mtihani labda mwakani
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hayawi hayawi, Sasa yamekua. Form Five Selections zimetoka tayari. https://selform.tamisemi.go.tz//content/selection-and-allocation/2023/first-selection/index.html
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2023/2024: Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo – Kila mwaka, wanafunzi kote nchini husubiri kwa hamu kutangazwa kwa waliochaguliwa kidato cha tano. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za wakat huu wakuu Kwa mwenye uelewa juu ya kozi hizo hapo juu Kwanza zinahusiana na nini hasa Pili ipi ni bora zaidi ya ingine Tatu upande wa kujiajiri ukoje Nne vyuo vinavyotoa kozi...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Wadau kama mnavojua selection zimetoka Jana na mdogo wangu amepangiwa huko Mbozi - Songwe shule ya Simbega. Yaani ni mbali kutoka hapa na nauli yake ni kubwa. Huyu dogo kapiga sayansi vizuri...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanini Mchungaji akitaka gari anachangiwa na muumini akitaka gari anaombewa Ndio hawayataki haya Zanzibar Atokee shekhe sasa anadai achangiwe, au atafune hela ya msikiti, atatafuta pa kujizika...
0 Reactions
258 Replies
3K Views
Wakuu mwenye kufahamu kama Lyamungo High School kuna combination ya PCM anijulishe tafadhali. Kuna dogo kapangwa huko PCB ila yeye anataka PCM nimemuahidi kumtafutia taarifa. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Waheshimiwa, mdogo wangu wa kiume amepangiwa kusoma Diploma in Secretarial Studies katika Chuo cha Utumishi wa Umma. Sasa hii fani naona kama imeegemea upande wa wanawake sana, Maana'ke sijawahi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Nimetoka kuangalia tangazo la huyu binti anayerudi shule baada ya kupata ujauzito, na kwamba ni kweli haki elimu ni matangazo bora zaidi ya Elimu kwa miaka mingi. Ni nani...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu...
3 Reactions
1 Replies
500 Views
Nilikuwa napitia majina ya wanafunzi waliochaguliwa katika shule bora za serikali nchini. Kwa asilimia zaidi ya 90 wamejaza watoto wanaotoka shule za binafsi /private. Na kama unavyojua hizi shule...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam, Wanabord ninaomba kufahamishwa kwa yeyote inaefahamu anisaidie kunifshamisha. Nacte wamefungua dirisha la udahili kwa vyuo vya afya ambapo deadline ni mwisho wa mwezi huu. Kwa kosa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mwalimu yeyote wa msingi mkazi wa wilaya ya kishapu anaehitaji tunadilishane vituo vya kazi anitafute please.
1 Reactions
11 Replies
778 Views
Wazazi umewaweka kwenye mtanziko mkubwa kwa ukimya wako wa kutotangaza selection ya wanafunzi kwa mwaka 2023/24, hapa tulipo tuko njia panda, maana hatuelewi kinachoendelea huko. Tujulisheni kama...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Msaada members, Nina mdogo wangu amechaguliwa jeshini na kashaondoka, Sasa katika pitapita zangu nimeona Kuna mtu anasema katika application za chuo na mikopo ni lazima uwe na no. Ya NIDA. Je ni...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom