Habari kwenu Wana bodi,
Mimi ni Kijana wa kitanzania pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi moja ya Chuo Kikuu hapa Tanzania.
Na malengo ya kuanzisha shirikisho la walimu wa...
Naomba kuuliza jmn. Utaratibu wa jambo hili ukoje hasa ktk mda wa kukaa kazin. Mf kwa mwalimu mwenye kwaka mmoja kazini anaruhusiwa kubadilishana baada ya kuthibitishwa kazin?
Naomba msaada wa mawazo ndugu zangu wana JF. Mawazo yenu yana faida kubwa sana. Ni mara ya pili naandika uzi unaofanana na huu lakini mara ya kwanza niliambulia patupu. Sikupata mchango wenu...
Habari wa wakati huu JF members. Na imani mkoa powa sana, niende moja kwa moja kwenye jambo lililonifanya nipost kwma mara ya kwanza humu JF.
Mimi siyo mwalimu na sijawahi kuwa mwalimu na ndoto...
Habari,
Kumekuwa na tabia ya kipuuzi kwa baadhi ya vionhozi wa taasisi za serikali kutangaza matukio fulani na kusema yako mtandaoni tayari na kutoa muda wa ukomo wake wakati siyo kweli kuwa yako...
Habari za wakati huu vijana wenzangu, wakubwa zangu shikamoo.
Naomba kujuzwa kama selection za
kujiunga kidato cha tano kwa mwaka 2022/2023, zimeshatoka?
Kwa yeyote mwenye taarifa naomba anijuze...
Baadhi ya wazazi wamemuomba Waziri wa Elimu kuingilia kati suala la wanafunzi kufukuzwa kiholela katika shule hiyo baada ya bodi ya shule chini ya shinikizo la Mkuu wa Shule hiyo anayefahamika kwa...
Nimeshangazwa sana mtu anasoma kwa kutumia masomo ya emglish kuanzia secondary hadi anamaliza chuo hajui english na akijua inakuwa ya kubabaika.Je tatizo ni mfumo,walimu au mwanafunzi.
Najua...
Habari wakuu,
Naomba Kuuliza kwa yeyote anayefahamu au mwenye mawasiliano na vyuo tajwa hapo juu.
Maana kuna mtu nataka ni mfadhili kwenda kusoma moja ya chuo hicho kwenye fani ya Ordinary...
Kama kichwa cha Uzi huu kinavoeleza hapo juuu. Vijana wengi wenye ndoto KUBWA za kimaisha kwa asilimia KUBWA wanatokea familia ambazo zina kipato cha Hali ya chini
Ninze na mimi mwenyewe ndoto...
Habari Wana bodi.
Niende kwenye mada moja Kwa Moja kumekuwa na matusi na kejeli za hapa na pale zikiendeshwa na mpwayungu village.
Sasa nimekuja rasmi kupambana na huyu mtu ambae anachuki za wazi...
Kuna jamaa yako ana smartphone na hajui afanye nini?
Una smartphone ambayo haikupi hela wakati unaiwekea bando?
Kama jibu ni ndiyo basi sogea hapa ujifunze fursa muhimu ili utumie bando lako...
salamu wakuu..
naomba kuuliza mtoto amefaulu kidato Cha nne kapata divishen 2 masomo ya sayansi yote kapata c kasolo bailoj kapata A
ndoto zake anatamani kuwa eiza awe rubani au injinia akikosa...
Samahani jamani iv zile posti za shule na chuo kwa wanafunzi wa kidato cha nne zinatoka lini wapendwa naomba mnisaidie
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tunafundisha home tuition somo la hisabati (mathematics) kuanzia shule ya msingi mpaka form 4 kwa mitaala yote (Necta, Cambridge).
Tunapatikana Dar es salaam. Mawasiliano 0755 339454/ 0657 903 125.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.