Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Asalam alykum warahamatuallah wabarakatu. Inshallah katika makala zangu za ""HACKER ""au MDUKUZI. Maana maarufu ya "Computer hacker /hacker ni mtu ambaye anadukuwa taarifa zako bila muhusika...
3 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu, ambao mnakijua/ mmesoma Chuo cha Mwalimu Nyerere Kigamboni, pale niliona watoa Elimu kuanzia ngazi ya certificate hadi Masters. Sasa katika kuangalia kozi zinazotolewa pale, niliona hii...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za muda huu wajumbe katika jukwaa letu pendwa natumaini mu wazima wa afya, bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kuulizia ule mtihani wa kiingereza unaofanyika...
1 Reactions
15 Replies
859 Views
Umesomea mambo ya PSYCHOLOGY & COUNSELING na unatafuta kazi! Ndugu ckiliza, KAZI ZIPO nyingi sana ila AJIRA ndio changamoto. What if, ukaihudumia jamii kutokana na ulichojifunza bila kusubiri...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kuhusu hii kozi inatolewa pale chuo cha takwimu inatumika wapi na fursa zake kwa jumla. Naomba kuwasilisha Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja. Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
The courses equip graduates with skills to work in the logistics and transport industry. Major activities involve transportation of cargo through sea, air, railways or roads and recording of...
0 Reactions
117 Replies
51K Views
Naombeni mnisaidie wapendwa, Elimu maalum ina fursa ya ajira?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Ni kozi gani ya elimu ambayo ina uwanda mpana wa kujiajiri na kuajiriwa kiujumla kwa hapa Tanzania?
1 Reactions
4 Replies
663 Views
Jaman kama kuna mtu aliesoma course hizo hapo ama kama kuna mtu mwenye uelewa nazo, kuhusu jinsi zinavyo tolewa na upatikanaji wake wa ajira ikiwa ni pamoja na maeneo unako weza kufanya kazi...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Habarini ndugu, Kwa anayejua mtu anayeanza chuo mwaka wa kwanza kwa ngazi ya degree ya medical doctor kuna umuhimu wowote wa kuwa na laptop? Kama jibu ni ndio je kitu gani kingine anachotakiwa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Leo nawaletea kazi y mikono nzuri kabisa bure kw shule za msingi na sekondari! Usiteseke kuandaa ripoti kwa kuandika kwa mikono, jaza maksi tu na unapata ripoti tayari kuprinti! Hata kama huna...
3 Reactions
2 Replies
972 Views
Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua Nini kimo maana elimu Ndo Kila kitu katika taifa lolote maana Ndo jiko la wataamu wenye Chachu ya kuleta Maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamvi nawasalimu,bila shaka Mwenye enzi amewaamsha salama salmini.Tuzidi kumshukuru Muumba kwa baraka zote. Mimi ni mtumishi wa serikali wa kada hizi za chini, sijui reaction kwenye neno...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Msaada kwa mwenye connection ya masomo au kazi nimemaliziaa sua na overall GPA ni 4.3 naweza kufanya nn jaman
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Mtu akisiomea kozi tajwa hapo juu ajira yake mahususi kabisa anakuwa nani.
1 Reactions
9 Replies
711 Views
Wakuu leo nimeona tujuane wale ambao tumewahi kutusua katika elimu ya bongo, yaani tulipata division one katika mitihani ya Taifa aidha wa O-level au A-level. Kama uliwahi kupata division one...
10 Reactions
235 Replies
63K Views
Habari, Msaada jamani, natafuta Chuo kinachotoa Mafunzo ya Graphics Design kinachotoa Course kwa uhakika hapa Dar es Salaam kwa anaekijua tafadhali anijuze.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamii. Nauleta huu uzi kwenu kwa lengo la kupata maarifa zaidi. Ndugu wana jamii nina mdogo wangu anasoma degree ya bachelor of science with education. Lakini kozi hii hakuridhika...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom