Wasalaam wataalamu na wanazuoni wa masuala ya elimu.
Naomba kujua Huyu Mwenye GPA 3.1 Kwa undergraduate.
Post graduate 4.1, halafu Masters GPA 4.0
Je, MTU Huyu anazo sifa za kufundisha chuo...
Kumekuwa na threads mbalimbali za kulinganishwa vyuo hivi Dit na Coet eti kipi ni bora,sasa tulinganishe projects zao kati ya dit na coet tuone wapi wako vizuri,wanaosema coet watoe na ushahidi...
Kwa wale wote tuliopita Chuo kikuu Cha Dodoma kwa levels zote kuanzia Certificate, Diploma, degree, postgraduate diploma, masters Hadi PhD kutoka ndaki na Shule zote kama College of Humanity and...
Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule...
Wakati Bunge likiipitisha bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya mwaka 2023/24, wabunge wamebainisha changamoto lukuki zinazozorotesha ubora wa elimu nchini, ukiwamo utitiri wa kodi...
Lengo kuu: kubadilishana kituo Cha kazi
Hello,
Nipo mkoa wa shinyanga, halmashauri ya msalala na nahitaji kuja mkoa wa NJOMBE,MBEYA,SONGWE AU IRINGA
Halmashauri yoyote ile katika hio mikoa
Kama...
Hii tume ya marekebisho ya mitaala ya elimu ukitazama mapendekezo yao ni wazi hawana uwezo wa kukwamua elimu ya Tanzania. ukitazama mapendekezo unaona kabisa ni watu ambao kwanza hawana taarifa...
Kwa nilipofikia hivi Sasa mkurugenzi TUTUBA Kama nitafanya Jambo lolote lile la maamuzi magumu Basi wa kumuuliza Ni ANNA TUTUBA MKURUGENZI SAME..NA CABINET YAKE
Habari wana JF, natumai muwazima.
Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi.
Swali ni kuwa, kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine...
Udsm ni chuo kilichokuwa kimejipambanua miaka hiyo kama chuo bora kabisa katika ukanda huu wa maziwa makuu na afrika kwa ujumla kwa kuzalisha viongozi na wasomi mahili katika nyanja ya siasa...
Ndugu yangu alikuwa anasoma kozi stashahada ya Tabibu (Clinical Officer).
Alikuwa mwaka wa tatu.
Hakufaulu vipindi viwili.
Kwa utaratibu mpya amepoteza sifa ya kuendelea na mafunzo.
Sasa anataka...
Kwanza niwape pole wagonjwa waliopo humu,niwape pole mnaoguza na kuwapongeza wazima na pia polen kwa majukumu ya kila siku! Yote kwa Yote shukuran za pekee ni kwa Mungu[emoji120](japo humu JF kuna...
Nauliza jamani ukitaka kuomba intake ya october kwa UDSM (Master Degree) inatakiwa uombe mwezi wa ngapi?
Ninaona kuna dirisha limefunguliwa saizi na mwisho wa kuomba ni mwishoni mwa mwezi huu...
Habari, natafuta chuo kinachotoa course ya graphics design kwa ufasaha pasipo janjajanja kilichopo dar es salaam ivyo kama kuna anae fahamu chuo kipi kizuri tofauti na course zinazotolewa na...
Naomba kujua ni vigezo gani vimetumika katika kuwachagulia wanafunzi watakaojiunga na Kidato cha tano 2017, maana napata maswali mbalimbali kutoka kwa watu na wanafunzi mbalimbali.
Mfano kwa...
Nimekutana na hii post ya utaratibu mpya wa TAMISEMI katika kudahili wanafunzi wa sekondari ili kupata nafasi za kuendelea na masomo.
Nimestaajabu sana eneo la madaraja ya kuwachagua wanafunzi...
Mimi nataka kusomea kozi ya electrical engineering lakini nimefuatilia vyuo Niweze kuapply kwenye website zao naona application zipo za miaka ya nyuma.
Kwa yeyote anayejua muda au mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.