Ndugu samahanini kwa usumbufu,.nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne,ufaulu wake ni Division III(24)
(kiswahili, english, history, geography)-𝐂
(civics, biology, phyisics, chemistry)-D...
Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome...
Kijana mmoja baada ya kumaliza masomo yake ngazi flani wakati akisubiria ajira ana amua kujiingiza katika kilimo cha mahindi na maharage,
Anakodi shamba lenye ukubwa wa
heka 3 =240,000/
kufukua...
Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje.
Na kwa hizi calculator...
Habari wana JF,
Napenda nielewe kwanini walimu wa Biology na chemistry Huwa hawajijari hasa kwenye suala la mavazi.
Walimu wangu wa O-level wala hawakuwa na mda wa nguo nzuri kama walimu wa...
Pongezi kwa wote ambao mmefanikiwa kuhitimu elimu ya sekondari kwa mwaka huu. Safari inaendelea na huko mbeleni yapo ya kila aina ila wewe unaweza kubaki wa aina hiyohoyo au aina mpya kikubwa ni...
Tunakaribia mwisho wa muhula wa kwanza ambapo shule zitahitajika kuandaa ripoti kwa kila mwanafunzi. Ripoti hizo hupewa wazazi/walezi wa watoto (wanafunzi).
Nimekuandalia mfumo wa matokeo, na...
Habari zenu wana jamvi.
Naomba recomendation za shule nzuri za msingi- english medium ambayo mbali na kufundishwa vizuri, pia watoto wananolewa vizuri kuongea kingereza kizuri.
Itanipa unaafuu...
Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala.
Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING
Samahani naombeni kupata msaada kwa...
Wakuu,
Binafsi ninaguswa na mijadala ya mustakabali wa elimu yetu nchini. Kila aina ya watu wanajitokeza na mitazamo yao juu ya hali ya elimu kwa sasa; wapo wanaosema tatizo ni serikali yenyewe...
Habari wana jamvi, poleni na hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa nchi. Naomba msaada wenu kwa mwenye uzoefu kuhusu recommendations za referees kwenye fomu ya maombi ya kusoma shahada ya uzamili...
Habari, msaada jamani natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya graphics design kinachotoa course kwa uwakika hapa dar es salaam kwa anaekijuwa tafadhali anijuze.
Habarini wadau!
Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni.
Najiuliza ni...
Nimeona chuo kikuu MUST wanakozi za bachelor of technical education ambazo zipo katika Civil Engineering, Mechanical Engineering n.k.
Sasa nilikuwa nahitaji ufafanuzi zinatofautiana vipi na...
Habari wana jukwaa la Elimu,
Nisiwe na maneno mengi sana, ningeomba kujua sifa zipi hutumika kujenga chuo cha ngazi ya chuo kikuu, iwe mjini au katika mji mdogo. Je, fedha na mali pia huzingatiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.