Habari ndugu zangu!
Leo naomba kuongelea kidogo ubovu wa elimu ya TANZANIA hasa elimu msingi na sekondari.
Elimu yetu ya msingi na sekondari imekuwa na changamoto nyingi ambazo zimepelekea elimu...
Wana JF samahani naomba kujua namna ya kujiunga na open university na taratibu Huwa zipoje ikiwa Mimi ni mfanya kazi na mwajili wangu kagoma kunipa full time ili nikasome, na natamani kujiendeleza...
Je ungepata nafasi ya kumshauri kijana huyu wa kidato cha nne mwaka jana afate njia ipi kufikia malengo yake ikiwa anapenda masomo ya science na ufaulu wake ni Div 3 ya 23 {chemistry C, Biology C...
Naomba mliosoma kitabu cha Devil on the Cross naomba mnipatie utangulizi wa hiki kitabu au general overview ya hiki kitabu nahitaji kujifunza yaliyojili humo ndani ya kitabu.
Jamani naombeni mnisaidie kuvitambua vyuo vya Serikali vinavyotoa Diploma ya Mionzi, Maana nmetafuta kwa guidbook sijafanikiwa kuona.
Nakutana tu na Physiotherapy kwa ninavyojua ni vitu viwili...
Wakuu mambo vipi?
Naomba ushauri wenu kuhusu jambo lifuatalo:-
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu (Bachelor of Environmental Disaster Management - UDOM) nilikua naitaji kwenda kusoma Master...
Jamani chuo kinachotoa Bachelor science in statistics ni UDOM kwasababu kinafundisha hadi software.....because mimi ni mojawapo niliyemaliza pale now najivunia
Jipatie templates bure kabisa kwa shule za O level na A level. Upate
-summary za matokeo iliyowekwa kitaalamu kabisa
-ripoti kwa wanafunzi wote, unapata ripoti hadi 600 kwa darasa moja
Na ratiba...
Habarini za kazi wakuu wangu,
Naombeni kuuliza kwa anaefahamu chuo cha ngazi ya Kati (Astshahada na stashahada) wanaotoa certificate ya PUBLIC HEALTH Napa nchini
Habar zenu brothers and sisters
Mahtaji msaada wenu, ninataka ku-apply Makerere University, Faculty of Science kwa mwaka wa masomo 2023/2024, nashkuru nina vigezo vyote, akn application window...
Naombeni majibu ya haya maswali apa
1. Techniques for right time procurement.
2. Explain the meaning of adversarial and collaborative relationships in Procurement.
Habarini ndugu,
Namshukuru Mungu niliomba
chuo kipo England (Norwich city) kinaitwa University of East Anglia (UEA) course niliyo kubaliwa Masters of science in Economics and Data science kwa...
Habari wadau,
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu hizi saili zinazoendelea mbeya university of science and technology kada ya T.A.
Kupitia utumishi kawaida huwa wanatoa namba ya mtihani kabla ya...
[emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834][emoji834]
Kwa kuchapisha muhtasari wa kitabu hiki sura...
Mifumo ya matokeo kwa shule za msingi na sekodari upo na unapewa mfumo wa trials ukiupenda tunakutumia mfumo kamili!
Usiteseke kuandika ripoti kwa mikono kwenhe zama hizi za TEHAMA mifumo yetu...
Study MBA Online program at India Top University Recognised by TCU
Duration: 2 Years
Registration fee $500 ( One time
Tuition fee per Year 750 USD
For more :
Call: 0678650509
Email...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.