Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu. Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwenendo wa Wenye Ulemavu Nchini Tanzania Habari zenu wakuu, Niswachoshe naandika kwa kifupi Saana, Wahusi wafaniye Kazi, au Mood wakiona Uzi haufai waufute. ""Binafsi sina Ulemavu wala ndugu...
1 Reactions
0 Replies
466 Views
Habari Wana JF hope wote ni wazima, Napenda kutoa ushaur wangu kwa Wizara ya Elimu na serikali kwa ujumla. Ni wakati sasa serikali kuanza kutoa tuzo kwa walimu bora. Taaluma hii ya ualimu kwa...
0 Reactions
2 Replies
417 Views
Wakuu kwa mwenye uelewa naomba msaada tafadhali. Nimechaguliwa kozi ya Mechanical engineering chuo cha NIT ngazi ya Bachelor lakini naona ni ya miaka mitatu 3 nilikua nauliza kuna utofauti gani...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Kama topic inavyojieleza,kwa waliopo vyuoni na ambao wamemaliza tutoe mchango wetu juu wa njia zipi za kufata au kufanya ili kupata GPA kubwa chuoni.
0 Reactions
46 Replies
15K Views
Wakuu natumai nyote hamjambo, wenye changamoto poleni, yatapita. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nimetamani sana kupata technical skill na baadhi ya niliyofikiria ni ufundi bomba. Sasa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu Kuna mtoto wa kaka yangu kwenye matokeo ya form 6 amepata principal passes 2 lakini General studies amepata 7, nilikuwa nauliza je kuna uwezekano wa kuchaguliwa chuo kikuu ikiwa...
4 Reactions
9 Replies
849 Views
Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA. Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu...
0 Reactions
15 Replies
968 Views
Viongozi wote waliofanya vizuri ni waliosoma Arts katika Level kubwa za Urais. Kitendo Cha Mtu kuwa Rais na hajui kingereza madhara yake ni kujifungia ndani na kushindwa kuinganisha nchi na...
1 Reactions
6 Replies
531 Views
Kipekee kabisa nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya siku nyingine mpya katika maisha yetu. Pia, nichukue nafasi hii kumpongeza Katibu mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo kwa ushauri aliotoa juu ya...
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Nilikuwa naomba kufahamishwa juu ya hii comb kwa MTU anaye somea,huwa ina option zipi ukifika chuoni, Msaada wenu wakuu
0 Reactions
25 Replies
21K Views
Hiki ndicho kinachotokea Vyuo tofautitofauti hapa nchini hususani Chuo Kikuu Cha Kilimo SOKOINE. Ikumbuke kuwa Takribani wiki tatu zimepita tangu wanafunzi wamemaliza semista ya kwanza ndani ya...
2 Reactions
18 Replies
890 Views
Mimi ni Kijana wa kitanzania umri 22, nipo moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi mwaka wa pili ( biology na geography) yaani bachelor of science with education...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekumbuka mbali sana wakati nipo chuo kikuu cha taifa nafanya zangu degree ya biashara. Majamaa waliosoma pcm walikuwa wanapasua sana na kuona mambo marahisi huku wengi wao hawasomi sana chuo...
6 Reactions
167 Replies
21K Views
Jamani naombeni mnisaidie swala moja, hivi alama za usahihishwaji wa mitihani ya wanaorudia mitihani ya taifa zipo tofauti na wale ambao hawarudii? Na kama ni tofauti, tofauti yao ni ipi? Na ni...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Ni formula ipi hukuwahi kutana nayo kwenye haratakati zako za shule mpaka Chuo?.je ipi hujui matumiz yake?in real life.?
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Msaada jamani mwenye kujuwa course hii CYBER SECURITY AND DIGITAL FORENSICS ENGINEERING inahusiana na masuala ya nini
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau naomba kujua hii program kuna dogo anataka kusoma, ugumu wake ukoje ,lakini vipi soko lake? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Yaan zero zaidi ya 100 yaan miaka 4 yote kapa aisee
4 Reactions
281 Replies
11K Views
Hembu tusaidiane kutafuta njia itakayotumika kupata jawabu la 2. 2^x = 2x (^ = power)
0 Reactions
107 Replies
8K Views
Back
Top Bottom