Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa jinsi mambo yalivyoanza, mianya ya uharibifu ni mingi sana. Hebu twende pamoja. 1. DAY CARE CENTRES. Hivi kweli kuna muongozo wowote wa uanzishwaji wake, ukaguzi wa hayo majengo kuona kama ni...
2 Reactions
3 Replies
521 Views
Naombeni muongozo wakuu ni pitr njia zipi, Na ndoto kuwa siku moja nije kuwa rais wa chama Cha walimu Tanzania. Bado nipo chuo mwaka wa pili nasoma bachelor of science with education. Vipaumbele...
1 Reactions
9 Replies
740 Views
Hello sorry, Nikitaka kufanya conversation ya passmarks za vyeti kwenda kwenye passmarks za Luxembourg ili niweze kufanya application ya chuo. Wapi wanaweza nisaidia?
2 Reactions
1 Replies
424 Views
Mimi kijana umri miaka 22, Nipo chuo mwaka wa pili, nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi biology na geography. Naomba ushauri kwa umri huu, na Hali ya ajira ya taifa letu ni fanye mambo...
5 Reactions
81 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo. Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/21 hadi 2022/23 chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu madarakani Mkoa wa Arusha umepokea zaidi ya shilingi bilioni 24.4 kutoka vyanzo mbalimbai: kwa utekelezaji...
0 Reactions
2 Replies
572 Views
Habari JF Mimi ni mwanafunzi chuo Fulani hapa Dar es Salaam. Mwaka jana nilipata changamoto ya kusimamisha masomo(postpone) kutokana na sababu mbili tatu. Sasa baada ya kurudi chuoni, kwa...
2 Reactions
82 Replies
3K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada husika ndugu wanajamvi. Taifa lolote lazma liheshimu elimu inayotolewa nchini maana elimu ni msingi wa maendeleo ya Taifa au jamii husika. Tangu nchi hii tupate...
0 Reactions
4 Replies
652 Views
Nimekuta ofisi ya dmo wangu imebadilishwa jina na kuandika CMOH ,je inamaana gani ,na kozi yake ni miaka mingapi Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Naomba kufahamu OUT wana intake moja tu ya foundation programme kwa mwaka
0 Reactions
5 Replies
970 Views
GS hata usomeje kufaulu ni shida sana ,unaeza kuta mtihani ukaona mtihani rahisi na ukajiaminisha unapata A lakini tokeo likija una F Watu wa zamani walifichiwa aibu kidogo tokeo lao walikuwa...
4 Reactions
73 Replies
15K Views
Habari za mwaka mpya. Nimeanzisha huu uzi ili kuwafahamisha/kuwatajia sifa za shule ya ufundi Tanga(Tanga Technical School). Kwanza shule ina maabara ya kutosha, waalimu wazoefu, KWA WANAFUNZI...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Kati ya Bachelor of Education in Physical Education and Sports Science na Bachelor of Education in Policy Planning and Management ni kipi nisome wandugu chenye uwanja mpana huko mbeleni. Mimi ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau, Ningependa kujua ikiwa kuna mtu anajua utaratibu dhabiti wa kujiunga na chuo hulia Tanzania (Open University Tanzania). Mwaka jana mdogo wangu aliomba kusoma diploma pale lakini...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Hii scholarship mwisho wa kufanya application ni 28/ 03/ 2023. Bado hujachelewa ku apply. https://cscuk.fcdo.gov.uk/scholarships/commonwealth-distance-learning-scholarships-candidates/
4 Reactions
4 Replies
747 Views
Niipongeze serikali yetu kwa kutoa mafunzo kwa waalimu wa sayansi na hisabati nchi nzima. Zoezi hili zuri liwakumbuke na walimu wa art pia. Ajabu wilaya ya Maswa mkoani Simiyu walimu wengi wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu najua JamiiForums ni sehemu ya kupata taarifa nina kijana wangu amemaliza degree ya elimu DUCE mwaka jana, sasa kinachonishangaza mpaka mwezi huu wa tatu kila nikimuuliza vyeti anasema bado...
1 Reactions
10 Replies
522 Views
Nawasalimu nyote. Nitapata wapi vyuo vinavyofundisha music wa kuimba by professional hapa nyumbani Tanzania?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, jqmani mtu aliyesoma degree ya biotechnology anaweza kusoma masters zipi akiamua kuendelea?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FURSA YA MASOMO kwa wenye master's ya petroleum, geology, oil and gas, physics, and mathematics. The Helmholtz Centre Potsdam – GFZ German Research Centre for Geosciences in Potsdam, Germany has...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Back
Top Bottom