Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana jf naombeni mnijuze nilazima ujue hesabu ndo usome ICT
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible? ===== Habari wanaJF, Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu...
1 Reactions
133 Replies
19K Views
Wakuu hivi ni kweli Tanzania hakuna softcopy za s chand,maana nazisaka za physics na pure math,lakini mrejesho umekuwa mdogo.kina kaka enginear hebu fungukeni mmezificha wapi?,au mnapunguza namba...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hizo namba hapo juu nimekuwa nikiziona kwenye admission za vyuo mbalimbali kama Index number. Naomba kuelimishwa ni namba za form four mpya au ikoje?
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi! Mimi kuna swala linanichanganya na kama ningekua na mamlaka wala nisingekubali lipite, ni Ili swala la recognition of prior learning. Yani huwezi kuniambia darasa la saba umpe...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Naombeni msaada wana Jf. Naomba kujua Je chuo cha SUZA ni kwaajili ya wakazi wa zanzibar pekee au hata sisi kutoka Tanzania Bara tunaweza kuomba udahili na kusoma katika chuo hicho
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa niaba kuna ndugu yangu anaomba syllabus kwa kidato cha tano na sita ili afanye maandalizi ya tuition kwa ajiri ya kijana wake. Shukurani
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar Wana Jf hope wote ni wazima,, Kuna kitu kinaniuma sana kuona Kila mtu anadharua taaluma ya ualimu, Madaktari, ma engineer na watu wataaluma mbalimbali wamekuwa na kasumba mbaya na inayo...
2 Reactions
14 Replies
718 Views
Hope Wana Jf wote ni wazima, Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma...
1 Reactions
10 Replies
582 Views
Samahani wakuu, Naomba kuuliza Iv chama Cha walimu Tanzania ni kwa ajiri ya walimu waliopo kwenye mfumo wa ajira au ni kwa hata kwa wale ambao hawajapata ajira.... Napenda kujua, mm ni mwanafunz...
0 Reactions
5 Replies
545 Views
Kwa anaesoma chuo cha afya na sayansi shirikishi mbeya please,naomba anicheki inbox. Au hata mtumishi wa hospital ya rufaa mbeya pia naomba unicheki tafadhali.. Natanguliza shukran.
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Je anaweza kufundisha chuo Degree 3.5 Masters 4.0 Nawasilisha🙏🏽
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Oya wadau naomba kuuliza maswali mawili 1: Kuna course nilikua nasoma, na nimesoma semester moja tu then nikapata matatizo kidogo nime postpone ni mwaka wa pili sasa toka ni postpone nataka...
0 Reactions
1 Replies
790 Views
Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili... Mimi ninafanya...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Samahani wadau...Naomba kuuliza hii course ya material science and Engineering ina husiana na nini? Vipi kuhusu market yake hapa Tanzania na sehemu gani zenye uhitaji wa wataalamu hao? Is it...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekutana na hii kozi ambayo ni bachelor of science in instructional design and information technology inayofundishwa chuo kikuu cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wadau, Moja kwa moja kwenye maada husika Mimi ni kijana mwny umri wa mid 20’s. Nina mpango wa kwenda VETA ili kujifunza ujuzi niweze kujipatia kipato. Lengo langu nikasomee kimojawapo...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Katika Media imeonekana dhahiri Waziri wa Elimu amefuta baadhi ya Vitabu vilivyokuwa vikitumika Mashuleni. Katika orodha ile ya Vitabu, wengi wa watu amabo siyo Waalimu wa maeneo hayo hawaelewi...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuhusu mtu anaenda wapi baada ya kifo imebaki kuwa fumbo kwa sababu sayansi inasema mengine na dini mbalimbali zinasema mengine. Kwa msichana Shanti Devi ilikua tofauti kidogo, baada ya kifo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Okay marafiki wa JF....... naomba kujuzwa kuhusu swala hili kama inawezekana kusomea degree ya telecommunication kutokea deploma tajwa!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom