Nakaribisha swali lolote la biology,
Kuanzia form one hadi form six
Karibuni 🙏🙏
Au kama Kuna topic yoyote ngumu, naweza fanya summary na topic ikaeleweka, walimu wa biology karibuni kuuliza
Samahan nilikuwa na uliza mimi nilirudia nikafanya mtihani mwaka jana wa NECTA nimepata D 2.
Je, hapo chet changu kitakuaje na lini result slip zitatoka
Habari za mida hii Wana jamii forum.
Mimi ni mdau wa ELIMU na mtaalamu wa ELIMU ya AWALI lakini nimegundua mapungufu baadhi katika ELIMU ya AWALI ambayo yakifanyiwa kazi tatizo la kusoma na...
Habari wakuu, msaada kwa wadogo zenu tunaoingia chuo kwa Mara ya kwanza nini tufanye ili tuendane na mazingira ya chuo
Wengine tulishazoea kpindi tunaanza form 1 na form 6 wiki ya kwanza huwa...
Nimehitimu diploma katika chuo cha kati cha private fani ya mifugo mwaka 2022.
Baada ya matokeo kutoka mimi pamoja na wenzangu (classmates) tukiangalia verification zetu NACTE tunaonekana...
Nini umuhimu wa kuwa na wanafunzi bora kitaifa afu tunawapoteza baada ya muda si mrefu yaani wakimaliza chuo kikuu basi hatuwasikii tena
je serikali inamonita vipi maendeleo yao huko walipo...
Habari Wana jukwaa!
Mwenzenu nimepotelewa na CHETI CHA KIDATO CHA NNE (2012), nafanyaje Ili nipate kingine, au Kuna taratibu gani za kufuata.
Ushauri tafadhali
Habari Wana Jf ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya,
Pasi na kupoteza muda niende kwenye lengo la Uzi huu.
Wana Jf Mimi naona ni Wakati sahihi sasa serikali itoe ruhusa kwa walimu waanze...
Habari wanaJF,
Naomba kuuliza nina diploma ya procurement and logistics management ila nina f ya mathematics kidato cha nne vipi nitakuwa na kigezo cha kusoma degree?
Habari wana Jamii,
Wengi tuliofanikiwa kupita vyuo vikuu tumepitia mengi sana, kama vile wenge la 1st year, kukosa au kuchelewa kwa mikopo (boom), kupanga hostel uswazi take away, mikiki ya...
Habari, nashukuru kwa wote walionipa muongozo juu ya namna ya kurisiti na hatimae nilifanikiwa na matokeo yametoka nikiwa na ufaulu unaoniwezesha kupata cheti.
Swali langu ni÷
1- Result sleep...
Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na...
Akataa Zawadi ya Tsh. Bilioni 1.3
Genius wa hisabati, Dr Grigory PerelmanWednesday, March 24, 2010 1:01 AM
Mwanaume wa nchini Urusi ambaye anaishi maisha ya kifukara katika nyumba yake iliyojaa...
About PMP:
Project Management Professional (PMP)® is a global credential offered by PMI Inc. PMP® Certification is a globally recognized, rigorous, education and/or professional experience, and...
Habari za mapambano wakuu, Mimi ni mwanafunzi moja ya chuo kikuu kimoja apa Tanzania, Nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi ( mwaka wa pili).
Ni ended kwenye lengo la Uzi huu, kwa utafiti...
LEO NGOJA NIKUMBUSHIE TUKIO ZURI SANA KUHUSU ELIMU
Ni muda mrefu sana sijaandika kuhusu Maswala ya ELIMU hivyo wengi wakanibatiza majina mara 'Mr Love ', 'KIBAMIA','Mwanaharati' na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.