Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Samahanini wapendwa Mimi ni mwanafunzi wa first year chuo kikuu natamani kujua. Njia nzuri au namna nzuri ya kusoma itakayonifanya nipate ufaulu mkubwa.Mfano sekondari tulitumia njia ya kusolve...
6 Reactions
64 Replies
8K Views
Aliyewahi kwenda masomoni kwa Koica program au mwenye uzoefu anipe maujanja maana nimeomba lkn Sina ufaham nayo hiyo kitu
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Habari wana JF Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina division 2.21, nina grade C masomo yote isipokuwa nina D ya Physics na F ya Math. Je, nikasome combi gani Advance?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima. Nina mdogo wangu amepata division II ya 21 anataka kusoma CBG Kwenye combination ana DCC Je anaweza kuchaguliwa shule ya Serikali bila utata...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari ndugu, Naomba kwa wenye uzoefu na maswali yanayo ulizwa kwenye interview ya kazi ya Ualimu kwa Mwalimu mwenye Degree. Asanteni sana
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Mm nimemaliza kidato Cha 6 mwaka 2022 kiuhalisia nimepataje matokeo mabaya yaan Division 3 ya 14 Combination EGM Economics D Geography E Mathematics E Ila na ndoto za kusoma Degree ya accounting...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wana Jukwaa la Elimu, Yupo jamaa yangu ni mtumishi wa serikali upande wa utawala na ana BAED (Geography and Political Science and Public Administration) wiki moja nyuma alikuja kuomba...
0 Reactions
14 Replies
38K Views
Uwe na IQ ya kutosha maana Harvard si pa mchezo kama udsm...Hapana. Pale Harvard Kuna wakati IQ yako haifai chochote. Haijalishi una IQ ya 125, 135, 145, 155, 165, au 175. Vyuo vikuu vya...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
Brothers and sisters naombeni msaada, nini kifanyike au wapi naweza kupata haki? Mdogo wangu alikua anasoma Form Two mwaka huu 2022 shule ya kata, lakini juzi kipindi wanaanza kufanya mitihani...
7 Reactions
128 Replies
7K Views
Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani History-D Geography-D E language-E GS-S Je, kutokana na ufaulu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Pana wanafunzi wanaopata "A" ya Economics A-Level? Naomba kufahamishwa.
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwanao akimaliza la sana usihangaike, mpeleke QT miaka miwili, then akimaliza aendelee, save money and time.
1 Reactions
12 Replies
489 Views
Habari zenu ndungu zangu.. Kuna uwezekano wa mtu aliyemaliza form 6 PCM mwaka huu ( division III.14 ) akachukua degree ya computer science. Physics-E...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanasema lugha ambayo Mungu alitumia kuumba ulimwengu ni hesabu. Hata wanapoangalia na kulinganisha performance ya elimu kwa nchi mbalimbali, huangalia Hesabu na sayansi. Sasa basi, ufaulu wa...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Link: Free Online Course Materials | MIT OpenCourseWare MIT chuo namba moja duniani kwenye maswala ya Technologia wanaweka Course zao nyingi Online bure! Kwa sasa kuna course 1,900 online...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari watanzania, leo nimekuja na hili swali, maana limenichanganya kidogo. Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu...
4 Reactions
91 Replies
15K Views
Nina C mbili, D moja na E sita kwa kidato cha nne lakini Stashahada nina ufaulu wa GPA 3.4 Je, naweza kuhangaikia kuanza kusoma shahada mwaka huu?
0 Reactions
59 Replies
16K Views
Back
Top Bottom