Nawaomba uongozi wa Mzumbe University mfikirie upya hizi degree za masters mnazozitoa huko mitaani/Centres za mikoani. Mnaua ubora wa elimu nchini. Si jambo jema academically, mtu wa Advanced...
Rejea kichwa Cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza(degree) nasoma bachelor of science in chemistry. Nahitaji msaada wa maeneo ya kufanyia field nikifiki mwaka wa pili...
Wana JF vipi hali, nasikia course ya AMO wataaanza kuitoa mwaka huu kwenye vyuo kama KCMC, Rufaa Mbeya na Bombo Tanga.
Hivi vigezo vyao huwaga ni vipi kwa anaejua, na ada kwa mwaka hua ni kiasi gani?
Wakuu naombeni usaidizi hapa, hii karatasi nimeambiwa nipeleke Baraza za mitihani Tanzania
Kuna ndugu yangu anasoma Kenya ila ni mtanzania hivyo hawezi kufanya mtihani wa form 4 kule Kenya hadi...
Waziri wa Elimu mhe. Adolf Nkenda amesimamia maamuzi ya Baraza la Mitihani la Taifa kuhusu uamuzi wa kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi ambao wamegundulika kufanya wizi wa mitihani yao ya...
Habari wana JF,
Karibuni nataraji kujiunga na diploma ya computer science,nimelazimika kusoma diploma kutokana na majukumu yangu kwa sasa japokuwa form four nilifaulu vizuri tu namshukuru mola...
Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita.
Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele...
Habari ndugu wana JF.
Weekend iliyopita nilibahatika kuwepo huko Mkuranga - Pwani.
Nikikutana na nyumba ndogo yangu ambayo ni mwalimu huko Halmashauri ya Mkuranga.
Kitu kilichonistaajabisha mpaka...
Habari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math...
Ndugu wajumbe wa jamvi hili:
Najaribu ku-complie manual ya "solved problems" za calculus. Mojawapo ya maswali yatakayokuwemo kwenye manual hiyo ni pamoja na haya ambayo yamekuwa attached hapa...
Wakuu nipo nafanya application ya masters ila naona wanataka ni attach matokeo ya IELTS. Naomba muongozo kama test iyo inaweza fanyika online na gharama zake n sh ngp
Salaam wakuu,
Naombeni mwenye kujua formula inayotumiwa na TCU ya ku calculate GPA (kufanya equivalency) kwa mtu aliyesoma nje tafadhali. Mfano mtu aliyesoma nchi kama Brazil ambapo hawatumii...
It serious unafikiri mimi ningemshauri ninj? Zaidi ya kumwambia kwamba akasomee ulozi na uchawi Afrika magharibi kwa sababu kwa alichofaulu ni kiwango kizuri kwa hiyo fani na ama kwa hakika vodoo...
Back to those years, huenda vijana wa Leo hamuelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina pamoja na candidate numbers,
Ebana ee Kulitokea la kutokea binti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.