Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
The Bachelor of Science in Social Protection at the Institute of Finance Management is a degree program designed to provide students with a comprehensive understanding of social protection systems...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
A Bachelor of Science in Social Protection can open up a wide range of career opportunities in various fields related to social work, social welfare, and social development. Here are some areas...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Msaada tafadhali Mhitimu wa diploma ya uhasibu kutoka chuo Kikuu Huria Tanzania, anaweza kuajiriwa katika taasisi mbalimbali ikiwemo na serikalin km Mhasibu msaidizi?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanaofanya kazi hii wanasoma course gani? Naomba mnitajie katika lugha ya kiingereza ili twende sawa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeona vyuo vya VETA vimecategorized mara RVTSC, DVTC na VTC, Je! vinatofautianaje kwa utoaji wa coarse mbalimbali hapa Tanzania.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana bodi kwakua NECTA hawakupi cheti kingine ikiwa umepoteza cheti cha form 4 na form 6 je kama ukitengeneza cha mitaani na kikafanana na kile kile cha mwanzo na kina index number yake hivi nayo...
3 Reactions
33 Replies
13K Views
Siku za nyuma nilidhani chuo kikuu cha mtakatifu Augustine (SAUT) kilichopo mkoani Mwanza hakina uwezo wa kuzalisha vijana na wasomi wenye kuweza kulisaidia taifa katika kusukuma gurudumu la...
9 Reactions
221 Replies
51K Views
Habari Wanabodi, Nina binti yangu yuko mwaka wa kwanza chuo akiwa na 80% ya mkopo HESLB ila amekuwa shortlisted usaili wa Jeshi la Polisi. Hivyo naomba mawazo yenu aendelee na Chuo au aende...
5 Reactions
68 Replies
5K Views
Hivi unaweza ukaajiriwa kwa postgraduate diploma ya business administration.Naombamsaada kwa wenye uzoefu.Natanguliza shukrani zangu wakuu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello wakuu nikozi gani VETA ukijifunza kwa Sasa inalipa Sana mtaani msaada please [emoji120][emoji120][emoji120]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Then Form 4 ana Div. ya 10 (2015) Form six (2018) ana Div. 3 point 15. Msaada wakuu. hapo juuu .
4 Reactions
41 Replies
9K Views
Niko kwenye maandalizi ya kujiunga chuo kwa ajili ya kuongeza uelewa katika taaluma yangu ya ufundi, naomba kujua kwa ulinganifu kipi bora kati ya Tablet PC na Laptop. Natanguliza shukran...
1 Reactions
2 Replies
284 Views
Habari za jioni wadau? Naomba kufahamu vigezo vya kujiunga na chuo cha ualimu ngazi ya cheti (astashahada) na ngazi ya stashahada (Diploma). Je vyuo vinafunguliwa lini?
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kama serikali ina nia kwa wananchi wake kujua kiingereza, basi somo hili lianze kufundishwa tangu darasa la awali kama ilivyokuwa hapo kabla. Na ikiwa si la muhimu sana basi ni afadhali lifutwe...
3 Reactions
3 Replies
414 Views
Habari, naomba kujua mtu anayesoma comb ya HGL anaweza akasoma kozi gani degree na ipi ni nzuri zaidi kwa utafutaji wa ajira?
0 Reactions
28 Replies
61K Views
Amani iwe nanyi. Naomba kuuliza vyuo ama chuo kinachotoa course ya kilimo tofauti na SUA,
1 Reactions
69 Replies
14K Views
Habarini za leo wakuu. Nahitaji kujua kama kuna chama cha wakemia Tanzania. Na kama kipo kazi zake ni zipi hapa nchini. Na kama hakipo kwanini hakipo wakati field ya kemia ipo hadi Kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wimbo wangu bora wa nursery ni POP GOES THE WEASEL. Wako ni upi? Kama ulisomea kayumba huu uzi haukuhusu!
0 Reactions
5 Replies
471 Views
Habar JF, Sambamba na kichwa cha habar naomba kufahamu juu ya vyeti vinavyowekwa ajira portal je ni lazima vipigwe muhuri wa Mwanasheria?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom