Heshima kwenu wakuu,
Kuna ndugu yangu ana shule ya msingi ikiwa bado mpya kabisa,hivyo ameambiwa awe na katiba ya shule kama moja ya vigezo ili aweze kupata usajili.
Naomba kujua/kupata sample...
Matokeo ya kidato cha nne yametoka ni zaidi ya wiki, lakini kwa wanafunzi zaidi ya 40 wa shule ya NUR ISLAMIC SEMINARY bado matokeo yao hayajafunguliwa wameekewa alama E.
Necta wanasema watoto...
Kwa uchunguzi wangu mdogo, vijana wengi waliosoma English medium schools ni wavivu na hawawezi kufanya kazi ipasavyo ukilinganisha na waliosoma Shule za serikali.
Habari ya wakati huu ndugu wana JF,
Mimi kama ilivyo wazazi wengine wanaowajibika kwa watoto wao hasa zaidi kahusu mustkabadhi wa maisha yao ya kesho; nimefkiri kwa kina juu ya elimu tunayopewa...
Poleni na mihangahiko wakuu, kuna kaswali hapa naombeni msaada wenu.
"Group, partnership and relation supplies and compititors support in identifying marketing opportunity discuss"
Kuna pahala hatuko sawa.
Kwanini katika elimu ya vijana wetu Sekondari Somo la Kingereza ni lazima lakini somo la Kilimo na Biashara ni uchaguzi?
Nawaza kwamba Kilimo na Biashara yawe lazima...
Samahani Waungwana nahitaji maelekezo.
Nina Certificate of journalism ila nataka kwenda kuchukua Diploma ya Banking and Finance Pale IFM je inawezekana?
Form Results
Geo-C
English-B
Bios-B...
Washkaji wote waliosoma Tambaza enzi zileeee big up sana
Mnamkumbuka nyau, Mwl. Mushi, LIle sooo la Kuwatwanga Jitegemee sec, Kakonda kalidanji mitaa ya Keko, Mnakumbuka ile mikanda uliyokua...
Wanafunzi wamekuwa wakimlalamikia juu ya ufundishaji wake wa somo la TEHAMA kuwa ni msumbufu. Nikiongea na mwanafunzi ambae alikataa kutaja jina lake na level (Mwaka wa masomo) alisema Mwakalonge...
Watahiniwa 93,136 (98.97%) wamefaulu Mitihani yao, ikielezwa Wasichana ni 40,907 na Wavulana ni 52,229. Aidha, Baraza la Mitihani (NECTA) limesema jumla ya Watahiniwa 83,877 (99.24%) wamefaulu...
Wakuu hii system ni ya muda sana hapa Tanzania. Anatajwa kijana ambae ameongoza Tanzania nzima kidato cha nne au kidato cha sita wanapelekwa bungeni na zawadi kibao wanapewa lakini hadi leo hii...
Naombeni msaada tafadhali.
Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc...
Salaam wakuu.
Huyu ni mtoto wa kike, amehitimu kidato cha nne.
Naomba ushauri asome course gani au fani gani inayoendana na ufaulu wake na ambayo hatokwama kupata kazi baada ya kuhitimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.