Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Shule ya Sekondari ya Ngarenaro iliyopo kata ya Ngarenaro jiji la Arusha, imetia aibu ya Mwaka kwa kuongoza kuibuka na sifuri nyingi zipatazo 54 katika matokeo ya kidato cha Nne , yaliyotangazwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu!! Ningependa kufahamu kama Marks za Dessertation (Research) ni sehem ya kukukotoa G.P.A kwa Postgraduate studies eg. PGD, Master's, PhD?
0 Reactions
10 Replies
819 Views
Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini Yangu muwazima wa afya. Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwezi wa January napenda kulizungumzia suala la uelewa wa wahitimu wa darasa la Saba ambao kwasasa wako...
2 Reactions
7 Replies
561 Views
Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na wimbi la kupandisha Vyuo vingi kutoka hadhi ya kutoa cheti na Diploma hadi ngazi ya kutoa Degree. Vijana wengi wa kidato cha nne na cha sita wakipikwa kwa...
2 Reactions
2 Replies
928 Views
Wasalaam wana JF Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo: 1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo. 2. Siyo...
4 Reactions
5 Replies
526 Views
Ushauri wangu kwa serikali ifikie wakati na kugawanya shule zenye wanafunzi wengi kuwa shule ndogo ndogo zinazojitegemea, fikiria shule moja kubwa unakuwa na wanafunzi 400 ambao wamepata zero...
0 Reactions
3 Replies
864 Views
Habari Gani Mataalam. Aisee kina bwana mdogo wangu amefaulu anataka kwenda FormV. Kwa sababu hapa ni nyumbani kwa wajuzi naomba mnisaidie shule nzuri ya formV kwa kuzingatia haya. 1. Mchepuo wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums: Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022. 1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukipita mitaa mingi ya mijini utakuta watoto wengi wenye uniform wakizagaa zagaa mitaani muda wa vipindi vya masomo hata saa tatu au saa nne wakiwa kwenye vituo vya daladala, sasa kama mimi ni...
1 Reactions
2 Replies
366 Views
Kuna kitu hakipo sawa katika mitihani ya kidato cha nne na jinsi matokeo yalivyo. Nimeambatanisha matokeo ya shule moja ambayo wanafunzi wake wote wamepata daraja la kwanza lakini karibu wanafunzi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
DAR kuna Tatizo Mahali. Katika mkoa ambao wanafunzi wame fail Zaidí ni DAR. Kwa sasa DAR Siyo sehemu salama Kwa elimu ya mtoto. Pamoja na facilities kibao lakini performance ni Mbovu sana kupita...
1 Reactions
11 Replies
702 Views
Kama una kijana amemaliza form 4 na ana matokeo mazuri mpeleke akasome CERTIFICATE ya course anayopenda baadae mpeleke Diploma. Akipata kazi yake au issue zake asome degree akiwa kazini au...
7 Reactions
7 Replies
847 Views
Kama tumavyojua matokeo ya kidato cha nne yametoka jana, Dogo amemaliza Moja ya shule za Ufundi yaani Technical School kwa matokeo yafuatayo; Div. III Pt 22 CIV - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B' CHEM -...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu Salaam! Natumai wengi hasa wazazi na jamaa wenye wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana mnaendelea kutafuta matokeo ya watoto wenu, au jamaa zenu waliofanya mitihani yao ya...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Wanafunzi wamefanya paper mwezi November. Matokeo ni muhimu sana muda huu. Kwa nin? Tunataka tuhamasishe watoto wasiende kwenye shule zilizovurunda na tuhamishe watoto wetu wasijuinge kwenye...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Jamani ivi naweza kua na sifa za kufanya mtihani wa A-level kwa matokeo hy kisw-c,bios-c,geo-d, math-f,hist-e,civ-e na eng-e lkn nimerudia mtihani kwa masomo ambayo nilifeli nimept civ-d,hist-c na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Maisha ya raha tu hayawezi kumfunza mtu. Katika maisha lazima upitie kipindi kigumu walau cha kukupima uwezo wako wa kukabiliana na changamoto. Hata elimu iko katika mkondo huu, kuna wakati chuoni...
29 Reactions
229 Replies
40K Views
Tunapongeza Serikali kwa hatua hii nzuri sana kwa sababu zifuatazo Inaondoa presha kwa wazazi na wanafunzi pia Inaondoa wimbi la wizi wa mitihani Inaondoa shule kupandisha ada kwa sababu ya...
2 Reactions
5 Replies
480 Views
Baada ya matokeo kutangazwa Leo Tarehe 29.01.2023 , na mie kama Mwl Mzoefu nimeona nitoe mtazamo wangu unaobezi katika Matokeo...Kama nimekosea ni ruhusa nikosolewe...[emoji120][emoji120] 1...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom