Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kuuliza course hii ya Ku opperete hivyo vifaa hapo juu veta ni bei gani na unasoma Kwa muda gani? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara nyingi nimekua nikiandika hili suala humu kuwa elimu ibadilishwe kwan haifai kabisa. Mwaka huu hawajatangaza shule Bora Wala mwanafunzi Bora. Wachambuzi wa ITV wengi wametoa mawazo mazuri...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33. Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu. Naomba ufafanuzi nataka nikasome IT Ila Kama tunavyojua IT Ina vipati bingo mfano (Security, networking, system Administrator, code).. binafsii nataka nakasome kitu kimoja ili nikijue...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Ili kuboresha elimu yetu, ni wakati sasa Serikali kupima uelewa wa walimu inao ajiri. Shule binafsi haiwezi pokea Mwalimu bila usaili na kumuona kama atawafaa au la. Serikali kama inafanya...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Msaada kwa yeyote anayeelewa kuhusu logistics as a field nina mdogo angu anaenda kuchukua Logistics and transport management alikuwa anahitaji msaada na uelewa kuhusu hii course especially kwenye...
0 Reactions
1 Replies
547 Views
Hello walimwengu. Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo...
4 Reactions
126 Replies
5K Views
Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Civic~D, Hist~C, Geog~C , Kisw~B, Eng~D, Phy~D, Chem~C, BioC B/math~F
0 Reactions
5 Replies
683 Views
Angalia kiunga hiki https://matokeo.necta.go.tz/csee2022/results/s5344.htm
0 Reactions
12 Replies
782 Views
CIV - D GEO- D ENG- D KISW- C CHEM-D BIO- D Kama mnavyoona wakuu hayo matokeo ndo all the hardwork dogo ka score hapo Mwenyewe anataka aende chuo kusomea afya aanze na certificate Naomba...
1 Reactions
74 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Nimepata shida kwa watoto wangu wawili kubadilishiwa majina.Wa kwanza alifanya mtihani wa darasa la nne mwaka 2020 na mwingine 2022.Nilipata kufahamu tatizo Hilo baada ya matokeo ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama mnavyoona wakuu hayo matokeo ya dogo hapa mtaani kwetu kaniomba ushauri akasomee kitu gani ambacho kitamsaidia kwa mbeleni hasa kwenye suala la ajira. Mwenyewe anataka aende chuo kusomea...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
unapozungumzia mafanikio ya elimu nchini tanzania hutaacha kukitaja chuo kikuu cha dar es salaam (udsm), miaka kadhaa iliyopita chuo hiki kilikuwa miongoni mwa vyuo 15 bora katika bara la africa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi ni Mwl grade A, Ndoto yangu ni kupata elimu nje ya Tanzania mfano Kenya, Rwanda ama Sudani; Je, elimu za wenzetu zipoje, na wanazingatia nini, vigezo vya kujiunga vipoje hasa elimu ya uongozi?
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Kutotangaza shule na wanafunzi bora ni hatua mojawapo sahihi ya kurekebisha mfumo wa elimu wa nchi hii ambao umekuwa ukitoa kipaumbele kwa mitihani zaidi kuliko ujuzi. Pia ni njia mojawapo...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Shule za serikali kweli zinapata zero nyingi kuliko shule za Private Lakini tukumbuke shule za Serikali zingejiendesha kama za private(mfano wa shule za gvt zinazojiendesha ki private Ilboru...
1 Reactions
1 Replies
472 Views
Kumekuwa na tabia ukienda kujiandikisha kupata cheti cha kuzaliwa unapewa mlolongo mrefu usio na maana yeyote, mfano unaambiwa ulete kadi yako ya kliniki, uje na mzazi, vyeti vya ubatizo n.k pia...
0 Reactions
16 Replies
974 Views
Back
Top Bottom