Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
mm ni mwanafunz wa mwaka wa 3 Ifm..nasoma BAC(BACHELOR OF ACCOUNTANCY)
0 Reactions
42 Replies
15K Views
Jamani nimerudi tena itabidi munizoee tu . Eti ukikata rufaa bodi ya mikopo kama umepata kidogo . Ule wa mwanzo wanaweza kuuchukua na unaweza kukosa kabisa. Au wanakuachia?.
0 Reactions
1 Replies
510 Views
Ebhana eeh nimekaa hapaaa kitaaa nimepata msaada wa kupelekwa shule nikasome short course ya Tour guide japo hiko chuo kinatoa piaaaa issue za hotel management na mambo mengine nilichokipendea...
0 Reactions
3 Replies
759 Views
Ebhana eeh nimekaa hapaaa kitaaa nimepata msaada wa kupelekwa shule nikasome short course ya Tour guide japo hiko chuo kinatoa piaaaa issue za hotel management na mambo mengine nilichokipendea...
0 Reactions
3 Replies
593 Views
Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa. Kwa wanaoifahamu hii...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Mzigo huo changamkieni fursa
2 Reactions
2 Replies
882 Views
Serikali imegoma kushusha gharama za bando za simu,lakini pia imeshindwa kukemea wizi wa kampuni hizo za simu dhidi ya wananchi. Imekuwa upande wa wawekezaji na kunyonga raia wake. Kama una...
1 Reactions
8 Replies
476 Views
Ndugu zangu, nimepata mawazo ya kufungua shule ya chekechea maeneo ya kiluvya, tuna eneo mimi na mkwe wangu la heka tisa. Tunataka kuanza na chekechea, baadaye tuongeze hadi primary baada ya...
4 Reactions
43 Replies
8K Views
Sijui labda mimi ndio sielewi! Serikali ndiye mwajiri mkuu wa walimu, na serikali haitoi ajira (ukiacha zile za kisiasa zilizo tangazwa juzi) Bado najiuliza, Umesoma arts na unakaa kwenye PC...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
Zawadi ya bando Kwa atakayekuwa wa kwanza kusolve
0 Reactions
8 Replies
629 Views
BAADHI ya shule katika Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe zimegeuka viwanda vya kutengeneza daraja sifuri katika matokeo ya kidato cha nne kila mwaka. MTANZANIA Jumapili ilishuhudia Shule ya...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ndugu mwenye mtihani mzuri wa kiingereza darasa la tano naomba huku kwetu tunaita maarifa ya Jamii tafadhari sana naomba
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanafunzi wengi wanapoa apply chuo jambo la kwanza wanaanza kuuliza kozi hii nitapata mkopo asilimia mia? Na wengine wanaomba mkopo kwa sababu ni utaratibu walio ukuta na sio kwa sababu wana...
12 Reactions
52 Replies
10K Views
Habari za muda huu ndugu zangu watanzania. kutokana na changamoto zinazoletwa na uwezo mdogo wa bodi ya mikopo kwa elimu ya juu, napenda kufahamu ni taasisi ipi inayoweza kutoa mkopo au ufadhili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
HABARI, Hivi wanajamvi kuna umuhimu gani kusoma kozi ya risk management and insurance? Na kama upo vipi Ajira zake maana -kujiari via iyo kozi ni kipngele sana. Mwenye -positive idea please...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yaani mtu uliesoma mpaka A level haya masomo ya biashara yasitaka hesabu au social science ukafunzwa jinsi ya kufanya research mtu mwenye Phd ya hizo fields anakutisha kweli. Kiwango cha elimu ya...
0 Reactions
5 Replies
620 Views
Habari Wadau Kwa wale wenye uelewa au ambao washawahi kusoma distance learning nahitaji kupata maelezo kidogo kuhusu hichi chuo cha University of People cha America na pengine yupo ambae ashawahi...
0 Reactions
8 Replies
905 Views
Hivi kweli kwa jinsi tekinolojia ilivyo na mpaka sasa Tanzania tuko 5G bado usajili vyuoni unafanyika kwa kujaza fomu, ujaze fomu zaidi ya 2, uanze kuzunguka kuthibitisha vyeti n.k, kweli...
0 Reactions
5 Replies
572 Views
Jamani hawa watu wanacheza na akili zetu watuambie kama mkopo hatupati au laah. Ukifungua account Yako unakuta umeandikiwa tarehe 8 kweli serious hii kitu.
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom