Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habar zenu humu ndani ndugu wa jf jukwaa letu pendwa!! Nimepata mkopo lkn ada wamenipa laki 5 kati mil 1.3 naomba ushauri wenu nifanye nn ndugu zangu! Natanguliza shukran zangu za dhati kwa kila...
6 Reactions
93 Replies
8K Views
Wandugu, Nina jamaa yangu yuko ofisini Kama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Kata somewhere in Mtwara region! Anatoa huduma ya ufundishaji wa Chemistry na Biology! Amepatwa na tamaa ya kuchukua...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Ni kitu gani kitamsaidia mtoto kujifunza kingereza,je awe anaangalia tamthilia za kingereza zilizotafsiliwa,kusoma hadithi za kingereza au kuangalia katuni? Naomba pia kujua kama kuna kifaa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Somo hapo juu lahusika Naomba kujua kama kuna chuo kilishawahi kubadilisha Kozi Iliyodahili awali na mwaka wa pili wa masomo kuibadili wanafunzi wakiwa wanaendelea Hii imetokea Tengeru Institute...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari, Poleni na majukumu, mimi ni kijana ninae hitaji kusoma kwa level ya chuo na nimepata nafasi ya kuchaguliwa WATER INSTITUTE (Bachelor of water resources and irrigation engineering) ambapo...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Sakata la wanafunzi LST kufeli limeendelea kujipambanua. Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe Inafahamika kuwa walimu LST nao ni products za vyuo hivi hivi hapa nchini. Kama vyuo...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu kwema?Nina mdogo angu wa mwisho katika familia yetu actually yeye ni mwalimu wa sekondari katika halmashauri X mwenye elimu ya Diploma , imefikia stage sasa anataka akajiendeleze ki elimu...
0 Reactions
2 Replies
534 Views
Naomba msaada kwa yeyote yule anayeweza nisaidia kupata nafasi ya course ya clearing and fowarding diploma nimepata ufadhiri now naombeni msaada Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
386 Views
Huu ni mchango wangu kwenye kuiboresha elimu. Mfumo wa elimu ulenge ufanisi kazini badala ya kumpa mwanafunzi taarifa za mambo mengi. Kwa maana hiyo, kuanzia elimu ya msingi ya kati, wanafunzi...
3 Reactions
4 Replies
748 Views
Wapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha
0 Reactions
8 Replies
504 Views
Habarini wanajukwaa, nina imani kila mtu ni buheri wa afya. Ninaomba kama kuna mtu anaeweza kuwa na pdf file ya kitabu cha "WHY HAS NOBODY TOLD ME THIS BEFORE - Dr. Julie Smith" anisaidie. Hata...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Hizi Shule Precious Blood Kibaha, feza, anwarite, maua hazina mambo ya pre form one lakini zinaongoza kuwa na matokeo mazuri hizi zingine zinazofanya pre form one zinakwama wapi?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Zamani kusoma sheria, biashara au engineering ulitakiwa uwe na division one tu na uwe smart kichwani sana kusoma sheria, engineer, biashara au medical ilihitajika watu wenye uwezo wa akili na...
23 Reactions
117 Replies
9K Views
Kichwa cha habari cha husika, Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Niliitumiwa Makosa na bodi ya mikopo nikarekebisha lakini Jana nilivyo ingia kwenye account yangu nime kuta kitu kama hicho[emoji116][emoji116] lakin baada yakufanya marekebisho kilikua hakipo...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Kwa hakika hii nchi ni ngumu sana. Mambo yote hata yasiyopaswa yamegeuzwa kuwa siasa siasa tu. Hili la law school nalo kwa hakika ni shida. Examination Results Hiyo ni "site' yenye matokeo...
25 Reactions
105 Replies
10K Views
Naomba msaada kwa yeyote yule anayeweza nisaidia kupata nafasi ya course ya Clearing and Fowarding Diploma nimepata ufadhili now naombeni msaada
1 Reactions
3 Replies
502 Views
Naomba kujua culculator zinazoruhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa hesabu wa kidato cha nne
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwema watu wa Mungu? Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake. Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
Back
Top Bottom