Wazazi wote wawili wamefariki .Mdogo wangu ameanza kufadhiliwa toka shule ya msingi .sasa nilikuwa na matumaini kuwa Bodi ya Mikopo itamlipia Ada ya chuo lakini bodi imempatia 743,500 kati ya...
Kama ukipata bahati ya kuchaguliwa chuo kikuu cha uhasibu arusha (IAA).. Zingatia haya
1.kama umepata/hujapata mkopo lazima unapokuja uje na ada asilimia 60, lasivo hutafanyiwa usajili...
Wakuu kwema Aise naandika huku naogopa. Nina wadogo watatu wanaanza first year mwaka huu na walishaaply mkopo cha kishangaza awamu ya kwanza hola hakuna hata mmoja aliepata na waliandikiwa kwenye...
Ukifika chuo ishi Maisha yako hata Kama watu watakuonaje we ishi Maisha yako tu
Hilo boom unabidi ulitumie vizuri ili ukitoka chuo utoke na mtaji.
Ajira hamna sasa hivi hivyo unabidi kujitenga...
Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi.
Tulipo kumeundwa tume ambayo composition yake ni suala jingine.
Cha kushangaza kutokea kwenye website ya matokeo ya LST cohort 33 kuna ukarabati mpya...
Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology
Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima...
Nasikia NACTE wamezuia uhamisho wa kozi za afya kwa wanafunzi wapya mwaka wa masomo 2022/2023 eti hadi uwe umesoma semester moja au mwaka kwa wanaoendelea tu. Eti tatizo au mantiki yao ni nini ya...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo X, natarajia kuingia mwaka wa pili karibuni, mwaka wa kwanza nilipewa mkopo wa ada kama 400,500, ile allocation ilikuwa inaonesha ni mwaka m1 wa masomo
Je, kuna...
Habari naomba mnisaidie kimawazo
Mdogo wangu alisoma PCB shule ya kata akabahatika kupata one ya point 9, anachotaka kusoma ni MD pekee yake
Ameomba
UDOM-Amekosa
MUHAS-AmekosA
BUGANDO-Amekosa...
Umuofia kwenu wadau wangu wa JF.
Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu shule fulani Mpanda mkoani Katavi.
Sasa nauli ya kufika huko kufuata result slip kwa sasa nimekwama, sina.
Niko Moro...
Habari marafiki,
Naomba kuuliza kama kuna mtu aliwahi fanya hichi kitu cha kurudisha mkopo bodi ya mikopo ili aweze kufanya maombi upya.
Utaratibu wa kuurudisha mkopo upoje.
Heslb tunaomba ufafanuzi, kwann mmeondoa hela za field kwa sisi wanafunzi wa vyuoni..mnategema tutasurvive vp huko kwenye ofisi za watu embu kuweni na huruma kwa binadamu wenzenu basi hayo sio...
MAOMBI YA MKOPO HESLB, VYUO, NACTE, RITA
Kama una mtoto, ndugu, jamaa au wewe mwenyewe unajiandaa kujiunga na elimu ya chuo kikuu mwaka huu:
Karibu nikusaidie kwa huduma zifuatazo:
1.Uhakiki...
Bodi ya mikopo HESLB eneo la select applicant category halifanyi kazi kwenye online form yenu
Vijana wanashindwa ku select category
Watu wa IT rekenisheni
Habari ndugu zanguni hivi kwenye kujaza ile form ya HESLB kwenye applicants bank detail kama muombaji Hana bank account je anaweza kuweka hata ya mzazi wake maana bank wanataka NIDA number ambayo...
Leo nilienda ofisi ya HESLB kuchukua barua ya kumaliza mkopo sijui ndio inaitwa liquidation letter (wasomi msaada kama nimekosea)kwani mimi binafsi nilimalizana nao toka 2019 lakini nilichokutana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.