Baada ya siku chache kupita toka bunge la TANZANIA chini ya spika Mh.Tulia Ackson Mwansasu liagize vijana kupokelewa vyuoni na kuanza masomo huku mchakato wa mikopo yao ukiendelea, limeonekama...
Nimemaliza form four mwaka 2008 na nikapata division 3 ya 24 ila sikubahatika kupata shule ya serikali ili kuendelea na kidato cha tano, na kwetu hakukuwa na uwezo wa kunipeleka shule za...
SHULE KUMI GHALI ZAIDI TANZANIA.
International School of Tanganyika (IST)
— Hii ndio shule ghali zaidi nchini. Iko jijini Dar Es Salaam na hufuata Mtaala wa IB. IST hutoza ada kuanzia shilingi za...
Nimeomba mkopo na nimefanikiwa kupata, ila nikiingia kwenye account yangu niliyosajiliwa chuo sehemu ya financial sponser inaonyesha ni private badala ya HESLB na sehemu ya HESLB loan amount...
Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele...
Nipo na Bwana mdogo mmoja mtoto wa mkulima amekata tamaa ya kuendelea na First year pale IFM sababu status yake inaonyesha hajawa verified na RITA akiingia RITA kila kitu kiko sawa.
Nimemshauri...
Naombemi ufafanuzi nimsaidie huyu ndugu yangu ana wasiwasi kama atashindwa kusupua anaweza simamishwa mkopo kwa mwaka unaofata?
Au ataendelea kama kawaida?
Sent from my SM-A125F using...
Kakangu ana mwanae ambaye anaingia mwaka wa tatu kozi ya Udaktari (MD) kwa chuo ambacho nisingependa kukitaja. Mwanetu huyo pamoja na kuomba mkopo mara ya tatu mfululizo amekuwa akinyimwa. Siku...
Hasa kwa wanafunzi wa shule ya kata ambao lugha ya kiingereza kwao ni changamoto. Ukifuatilia ufaulu wengi huwa ni mdogo hasa pale section d.
walimu tupeni mbinu za kuchukua alama zote pale katika...
Rais wetu Mama Samia ametoa udhamini wa wanafunzi 600 katika elimu ya juu waliofanya vizuri masomo ya sayansi, sina hakika kama watanzania wengi wanalifahamu jambo hili jema kiasi hiki, maana...
Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu.
Nahitaji kufanya academic research kwenye eneo hilo kihusiana na usalama uliyopo kwa sasa kwenye ishu za taarifa za wateja. Ni maeneo yepi naweza anza nayo...
Hawa Watu kiukweli Hawatasahaulika kwa mchango wao mkubwa sana kwetu hasa upande wa advance level iwe direct au indirectly
Naomba nianze na wafuatao.
PHYSICS
√Mouddy physics (RIP)mzee wa tackle...
Discover this 90/10 Principle.
It will change your life (or atleast the way you react to situations).
---
WHAT IS THIS PRINCIPLE?
10% of life is made up of what happens to you...
90% of...
Habari,nina mwanangu mdogo nataka nimuanzishe shule(kindergatten) at Feza schools mwakani.
Naomba kujulishwa ada zake, na pia ni day au boarding?
Napambana kutafuta hela walau mwanangu afurahi...
Tunatambua Mara zote asili ya elimu yetu, tumejikuta mfumo umetuganda si chini ya miaka Hadi ishirini then unapewa Cheti Kama mwangaza au ufunguo wa sehemu kuomba kazi.
Pia jamii Ina wataalam...
Kila shule, zile za msingi na sekondari zina kaulimbiu zake maarufu kama ''school motto'' zilikuwa zinabeba ujumbe na kila mwanafunzi alikuwa lazima azijue.
Hebu tukumbushane, taja school motto...
Wakuu natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI ninayo soft copy ya hii dictionary lakini imekua ya zamani sana.
Kuna mtu anayo au inauzwa wapi? Asanten
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.