Habari zenu wapendwa.
Mimi ni mwanafunzi wa Diploma ya Uandishi wa habari mwaka wa pili. Nina ndoto ya kuwa Mshehereshaji wa matukio makubwa ya kiserikali hususani Yale ya mh Rais.
Naomba...
Naulizia kuhusu kozi ya bachelor of science in housing and infrastructure planning ndo ikoje yaan inahusu nini na je unawezq jiajiri, mwenye ujuzi msaada wakuu
Shule F1-F4 Boys inauzwa eneo la Kigamboni. Ina eneo kubwa la eka 30 kwa kupanua au kuongeza wasichana au ya Msingi au ya Ufundi. Taasisi inayomiliki shule tayari au yoyote inayotaka kuwekeza...
Naomba ufafanuzi kuhusu course ya agribusiness menegiment and technology inayo tolewa must, na maeneo ambayo ninayoweza nikafanyia field na suala zima la ajira zake zime kaaje kaaje
Wakuu habari yenu poleni na majukumu aise naomba kuuliza kama kuna continuous yeyote aliomba mkopo na kapata moaka sasa au utaratibu ni ule ule continuous wao ni mpaka batch ya mwisho
Habari za majukumu wakuu,
Leo nimeulizwa swali na mdogo wangu lakini sikuweza kumjibu. Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne miaka ya nyuma na akapata ufaulu wa div 4 point 27. Alifanikiwa...
Wakubwa shikamooni wadogo zangu habari zenu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mtumishi wa umma kada ya ualimu nimejiendeleza kielimu kwa sasa nahitaji kujiunga na masomo ngazi ya...
Hamjamb Wadau.
Mimi nimemaliza bachelor of chemistry and physics with education. nataka kusoma master of medical physics. Je, kwa Tanzania inatambulika course hii? Na je nikisoma Ina opportunity...
Kwa nyomi za waomba kazi za Sensa. Ni Bora kuanzisha hii kozi huko vyuo vikuu, mpige hela kiroho Safi. Yaan nafasi 50 Ila waombaji 3,000 kwa Kata. Malipo sasa!
Habar Wana jf,
Kwa wenye ufahamu zaidi kuhusu hili je unaweza kusajiliwa chuon Kama una copy ya Chet Cha form four kwa mtu aliyepotelewa na Chet original au haiwezekan mpk Chet chenyewe ndo...
Mwanafunzi wa darasa la nne ambaye amekosa kufanya mtihani wa darasa la nne anaweza kwenda darasa la tano?
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
Nimeliona kwenye mtihani wa mock darasa la nne mkoa fulani kipengele cha composition.
One day a woman went to ....... She was suffering ...... Malaria. she sat on a ........ Waiting to be...
Kwa jinsi Hali ya kiuchumi ilivyo ngumu, imagine mtu analipia maombi ya vyuo kupitia Nacte pesa ikishachukuliwa ndiyo kizungumkuti kinapoanza.
Kulog in issue, ukiwapogia wanajibu watakavyo hebu...
Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa...
Wakuu kwema.
Nisaidieni ushauri kidogo, nina certificate ya uhasibu na diploma ya kwanza ya uhasibu kwasababu ya changamoto kidogo nilipostpone mwaka wa pili ya diploma yangu ya uhasibu, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.