Mdogo wangu kachaguliwa Bachelor of science in Information n Technology St. John, anaitaka pharmacy ana division 2.10 watamruhusu kuhama au nimpeleke diploma afya.
Coordinate ni ELIMU inayomuwezesha msomaji wake kuweza kugundua na kujua mahali vitu vilipo(location of position) hata Kama hajawahi kufika.
Kwa mfano ukichukua karatasi nakukutanisha mistari...
Habari Wana JF,
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2022 comb HGL Nime confirm chuo TIA Mbeya kozi ya Bachelor of Marketing and Public Relations lakini naona napenda sana BaED kuliko hii kozi...
Mimi ni mwanafunzi ambaye Nimechaguliwa chuo cha Mwenge Catholic university.
Hata hivyo Mimi ni mgeni sina ndugu
Hivyo kwa mwenyeji wa moshi ninaomba msaada WA ghetto au chumba
Pia nahitaji...
Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache.
Mitihani ya CPA watahiniwa...
Nilijirejista kuangalia AVN number yangu na ikafika kweny kipengele Cha kuangalia information zangu Kama ziko sawa nikajiridhisha kuwa zipo sawa nikabonyeza continue lakini mtandao nahisi ulikuwa...
Tunaeleweshana mambo yote yanayohusu Ulimwengu ambao upo mbali na upeo wa macho yetu kama nyota, sayari na makundi mbalimbali yanayopatikana huko Anga za mbali.
#KARIBUNI...
Habari zenu naomba kujuzwa shule nzuri zenye Ada za tozo kidogo kwa mikoa ya Kilimanjaro na Mbeya specifically shule za Seminary haswaa wakatoliki.
Kwa mwenye kujua hizo shule naomba msaada...
Habarini.
Jamani nimefundishwa hesabu inaitwa Index of dispersion lakini kila nikitafuta kwaajili ya kujifunza zaidi kwenye oogle na YouTube sipati kitu kama kile na itabidi nifanyie mtihani...
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma.
Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha:
Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka...
Wapendwa naombeni msaada hivi course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini sana sana?
Na ajira zake zikoje upatikanaji wake.
Au kwa upande kujiajiri
Samahani wakubwa naomba msaada wenu nime maliza kidato cha sita, ni ipi kati ya course hizi itanifaa na ninzuri? Naomba na ufafanuzi kidogo kuhusu course hizo.
1- Bachelor of science in applied...
Hello, nlikua nahitaji msaada!
Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case...
Kwa wiki hii km una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe. Kuanzia wiki ijayo nitakuwa naweka mada za KIINGEREZA zinazotamumetiza watu. usikose uhondo
Jifunze KIINGEREZA hapa...
Niende moja kwa moja kwenye mara, Naomba kufahamu kwa mtu anayesoma QT inatakiwa apate avarage ya ngapi ili awe amafaulu kuendelea na masomo ya kidato cha nne?
Najua mtabisha lakini Ukweli utabaki Ukweli.Utaratibu wa kufundisha Kutunga Mitihani kufanya Mitihani kusahihisha Mitihani na kisha Zoezi hilo Huchunguzwa na kuhakikiwa na Bodi kama kuna Dosari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.