Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarini za muda huu wanajukwaa Kumekuwa na sintofahamu kubwa katika hizi siku chache ambapo madogo wa diploma wakikaribia kufungua vyuo vyao na tarehe tajwa ni 17/10/2022 Kimbembe kinakuja...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa! Naomba ufafanuzi/kujua mchakato wa kujiunga na PhD ya Open University of Tanzania. Niko Meatu,Simiyu.
0 Reactions
9 Replies
671 Views
Jamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata  gs-E history-D geo-C economy-D Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Jmni naombeni mnisaidie kujua shule za msingi zinazopatikana mkoa wa MBEYA zenye BOARDING, na zenye ADA nafuu kama utakuwa wazijui[emoji1545][emoji1545]
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo vipi Wana Jf. Hawa loan board juzi kati hapa walitupa ujumbe kwenye account zetu ikiwa umepatia kuomba mkopo au umekosea. Kwa walio kosea walihitajika kufanya marekebisho, lakin hizo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu vipi Kozi nzuri zaid apa BaEd (Chinese & English lg) versus Bachelor in Urban Development and Environment management.. Mawazo yenu yanahitajika... Wadau
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Wana Jf Mim Ni Student Wa A Level Form 5 Naingia 6.Nasoma HGL, malengo yangu ni kusoma Public Administration UDSM next year. Naombeni Mnipe Mwongozo Juu Ya Malengo Yang Coz I Admire It So...
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Mwenye degree ya procurement anaanzia level gani kwenye mitihani ya bodi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salam wakuu Nina project kwenye eneo hilo nahitaji mwenye elimu hiyo tutete. Njoo PM only for the qualified one nje ya hapo usipoteze muda ni swala serious. Mwenye uzoefu wa miaka 2 kwenye ajira...
1 Reactions
2 Replies
441 Views
Mimi ni kijana wa miaka 21 nipo Mkoani Mara, nimemaliza form four(4) mwaka 2018 na kufaulu Ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto ya ada nikawa nafanya tu vibarua ndogondogo...
0 Reactions
11 Replies
583 Views
Mwalimu wa English pre form one anatafutwa. Piga namba 0683669735
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Jamani matokeo yametoka, kati ya wanafunzi 500+ walio clear masomo yote ni 22! Hapa kuna tatizo na si weak students kama mtu anavyoweza kudhani. Kuna tatizo katika teaching and examining/exam set up!.
14 Reactions
361 Replies
61K Views
Ni nini kinaifanya hii shule ya sheria pale mawasiliano kuwa ngumu sana kuimaliza il hali wanafunzi wanaosoma pale inakua kama wanarudia tu waliyosoma undergraduate? Ni ukiritimba waalimu...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanazengo habari za wakati huu Naomba kuulizia kwa anayefahamu shule nzuri ya kutwa (English Medium) kwa mtoto (miaka 5-10) maeneo karibu na Mwana Nyamala, anisaidie kunipa jina la shule pamoja...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Habarini za majukumu wapendwa na hongereni kwa kazi. Mimi nina mtoto wa kike ana umri wa miaka 6 lakini mpka sasa haongei vizuri, ni neno moja moja sana napo ni kwa kujitahidi hivyo hivyo...
1 Reactions
4 Replies
696 Views
nisaidieni hapo wakuu nielewe PCM ambapo ufaulu ni CDC
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimechaguliwa mzumbe ,Naombeni ushauri wenu ,Je katika kozi hiyo,ni upande gani ambao katika ajira zake inalipa,katika ishu ya fedha(mshahara). Mapondo myaweke pembeni
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF? By make a story short, let jump to the topic. Mimi kitu ambacho sintoweza sahau ni pale mshikaji (Hassan) alikuwa akichungulia majibu kwa jamaa (Boni) wa pembeni alipo mchania...
2 Reactions
10 Replies
908 Views
Android Studio 4.1 Development Essentials - Kotlin Edition: Developing Android 11 Apps Using Android Studio 4.1, Kotlin and Android Jetpack Book by Neil Smith Wakuu kwa yeyote anaeweza nisaidia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha...
1 Reactions
4 Replies
764 Views
Back
Top Bottom