Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Msaada: mtu aliesoma diploma ya clinical medicine anaweza kusomes course gani degree?ambazo ni significant? Asanteni wakuu
1 Reactions
17 Replies
4K Views
TAREHE ZA MITIHANI Form two wanaanza tarehe 30/10/2022 Hadi 8/11/2022. Form four wanaanza tarehe 14/11/2022 Hadi 23/11/2022 DARASA LA SABA 5/10/2022 NA 6/10/2022 DARASA LA NNE 26/10/2022 na...
4 Reactions
5 Replies
802 Views
Iviii wakuuu km mtu umechaguliwa chuo cha CBE unaweza kupanga au kuishiii maeneo ganiii mazuriii kwa maana ya usalama na urahisi wa kufika chuoniii .....msaada plz
1 Reactions
5 Replies
523 Views
1. Je, wanafunzi wetu wanaelewa/wanasoma? 2. Walimu wanajua kufundisha? 1. Are our students learning? 2. Do we (teachers) know how to teach?
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course Bachelor of Arts in English, Bachelor of Arts History, Bachelor of Arts Kiswahili😭😭😭 Ni huzuni kwa kweli. Kuna hizi za sayansi pia Bachelor of...
16 Reactions
42 Replies
5K Views
Niki calculate GPA yangu napata 2.6793. Je, cheti kitakuja na GPA ya 2.6 au 2.7? Na vipi kuhusu class? Ni GPA ya university.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakuu,naombeni msaada wenu kwenye hili,niliwahi kuomba chuo mara tatu tofauti na zote nilifanikiwa kupata ila kwa sababu za kiuchumi na kiafya sikufanikiwa kusoma kwa kipindi hiko. Mwaka...
0 Reactions
8 Replies
658 Views
Ndugu wanajukwaa samahani, naomba msaada wa kuvijua vyuo vya ualimu ngazi ya cheti vya serikali vinavyopatikana jijini Dar es salaam na location vinapopatikana. Natanguliza asante zangu kwenu.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Dirisha la tatu na mwisho kwa mwaka huu la kutuma maombi ya shahada ya kwanza ndiyo limefungwa jana. Tunaomba NACTE watuangalie kwa jicho la huruma wengine, tunaomba watuongezee japo siku tano au...
0 Reactions
12 Replies
910 Views
Karibuni shule za mkoa wa kilimanjaro kwa ujumla mwaka 2023 Zipo shule za serekali zenye hostel ada 500,000-650,000 per year mfano Kifaru sec Lyakrim sec Makom sec Mkuu sec Komakya sec Namwai sec...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
How to Craft a Winning Paper for Your Dissertation Before we get to the question, what makes a paper to be a superb document? It is quite common knowledge that a dissertation is a lengthy academic...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu wote wazima humu ndani. Nimesoma diploma ya procurement and logistic management ila baada ya kuingia bachelor degree nikabadilisha course na kusoma business management, naenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1: Sayari ya Jupiter ni sayari kubwa kuliko zote kwenye mfumo wa jua.Kwa makadirio ina upana kwa kilomita 142,000 kutoka kwenye Equator yake.Sayari ya jupiter ni kubwa kiasi ambacho unaweza...
27 Reactions
95 Replies
6K Views
Naomba kujua yani Mimi nikikaa kidogo tu mautando kwenye macho mda wote nijitoe ni hali ya mda mrefu sana inanichosha kujipikicha macho mda wote nitakuwa na shida ya macho au? Hii picha hapa chini...
1 Reactions
3 Replies
845 Views
Nimekuwa nafikiria saaana mpaka leo sijapata majibu muafaka! Pamoja na kusomea ualimu bado sijapata majawabu! Kwa nini elimu yetu ya msingi iwe ya miaka 7? Ninavyojua na uzoefu unavyoonesha...
1 Reactions
5 Replies
532 Views
Samahan wakubwa naomba msaada wenu nime maliza kidato cha sita, ni ipi kati ya course hizi itanifaa na ninzuri? Naomba na ufafanuzi kidogo kuhusu course 1-Bachelor of Science in Applied Biology...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika kufanya utafiti wangu wa kimchongo leo nimeona niongee huu upuzi niliohuona huku ni takribani mwa wa tatu sasa najaribu kuomba nafasi ya kusoma vyuo vya kati vya kilimo vinavyomilikiwa na...
0 Reactions
2 Replies
387 Views
Ni kweli janabi ametoa mchango mkubwa kwa nchi.. Ni njema kukafahamishana na kuweka record sawa. Kuna mtu yoyote anajua Professorial ya Prof Mohamed Janab. Nimejaribu kutafuta machapisho yake...
0 Reactions
6 Replies
713 Views
Back
Top Bottom