Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani naomba kujua kuhusiana na chuo Cha bandari ambacho kipo TANDIKA pale hivi short course zile mbona nina bei kubwa sana na kwa wiki 6 tu na vipi KUHUSU ajira zake zipoje maana nataka kwenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina Kijana wangu nahitaji kumsomesha CPA amemaliza degree ya Uhasibu wa umma amenieleza Jumla ni 3,650,000/= Naomba wajuzi mnisaidie
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuleta mageuzi katika sekta ya sayansi na teknolojia kupitia Samia Scholarship. Ufadhili huo wa miaka mitatu hadi mitano utawanufaisha wanafunzi kwenye maeneo haya nane: Samia Scholarship itatoa...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nilipoteza cheti cha form IV na kiutaratibu inabidi niende necta na nikipiga mahesabu ni pesa ndefu kidogo ambayo sijajipanga kwa sasa,naombeni ushauri ili...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Samia scholarship ni definition sahihi ya mwenye nacho ataongezewa. Ask me how?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wanajamvi wa jukwaa hili la Elimu ambalo watu wana view thread na kupita kushoto bila hata kutoa ushauri kwa kuwa si masuala yanayohusiana na ngono[emoji74][emoji74]. Naomba msaada...
2 Reactions
4 Replies
983 Views
Habari wakuu Kuna hichi chuo cha DMI posta Dar es Salaam, kinaendesha mbinu za kijanja au za kihuni kwa ajili ya kupata wanafunzi wa kuwadahili, DMI wanadahili wanafunzi wa mechatronics...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Royal College of Agriculture University inapokea maombi kutoka kwa waombaji kutoka nchi mbalimbali, waombaji wanaokidhi vigezo watume maombi kabla ya July 2023. https://c-js.uk/3RWQlsW
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni njia ipi nzur ya kusoma masomo ya takwimu ktk chuo cha eastern africa training center na kufaulu vzur bila kupat supp wal disco naomba msaad juu ya hilo.
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Kuna mwalimu anaanza na ngazi ya certificate na baadae anaenda kujiendeleza kwa ngazi tofauti tofauti. Miongoni mwa kozi anazosomea ni stashahada au shahada za utaalam tofauti, mfano ukaguzi...
3 Reactions
9 Replies
749 Views
Habari zenu wana JF. Pale UDSM kuna kozi inaitwa BA in Diplomatic and Military history, kwa anayefahamu naomba kujuzwa inahusiana na mambo gani?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimechaguliwa chuo Cha institution of social work kozi ya human resources nataka kubadilisha nisome kozi ya labour relation na public management naomben ushauri wenu niende ipi Kati ya hizo au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kujua maana halisi ya hili neno "be" kwa maana nashindwa kujua naambiwa kwa wakati huu verb be itakua was au itakua will au itakua have sasa nashindwa kulekewa hasa ni kitu gani hiki be
0 Reactions
10 Replies
780 Views
Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu? Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu hii masters ya monitoring and evaluation kwenye market ya ajira mnaionaje.
2 Reactions
6 Replies
626 Views
0 Reactions
4 Replies
346 Views
Nime apply for transcript sasa nikawa nimekosea kuweka passport size, yaani ilikuwa na ukubwa uliozidi sasa NACTE wakanitaarifu nibadilishe passport, nimeingiza details zangu sijaona ile sehemu ya...
1 Reactions
5 Replies
615 Views
Wakuu hiii kozi nayo iko vp kisoko na je ukimaliza upo mtihani kama vile CPA
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba Yan nilichaguliwa chuo Cha Kampala dirisha la kwanza na mimi sijawahi kukuomba hiki chuo niliomba udsm ,ardh na mzumbe lakini...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom