Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wadau! Ningependa kufahamu kama kufanya hizo course/masomo yaliyo nje ya program husika yatatokea kwenye Transcript? Mfano Bsc Economics nikaongeza soma kama information System
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Habari zenu wana jamvi natumaini ya kuwa mko wazima kabisa. Nahitaji kujua mahitaji muhimu katika kuanzisha na kuendesha Open school Na ni programme zipi hasa zinaruhusiwa kuendesha katika vituo...
0 Reactions
4 Replies
738 Views
JE WAJUA? Je wajua product za udom hukubalika maofisini* field na kazini? JE WAJUA, UDOM pekee ndo chuo kinachodahili koz nyingi zaidi mwaka huu, kinadahili Coz 80... Pia Ni chuo kikubwa Afrika...
15 Reactions
172 Replies
37K Views
List ya waliochaguliwa round ya kwanza io apo
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kumekuwa na malalamiko ya waombaji wa vyuo ambao waliomba na Chuo cha Teofilo Kisanji University (TEKU) kilichopo huko mbeya, kwamba chuo hicho kinafanya confirmation ya selection kwa chuo chao...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wakuu Kila mwaka serikali inatenga bajeti maalum kwa ajili ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu kupitia taasisi yao(HESLB) ambapo kila mwaka wanafunzi si chini ya 150,000 wanakuwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu nahitaji msaada wa mwenye pdf au link nayoweza kupata kitabu cha mfalme juha.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu mabibi na mabwana Huyu binti namfahamu tangu akiwa mtoto. Anatoka kwenye mazingira magumu kuliko ngumu wenyewe. Hamjui baba yake mzazi, hajawahi kumsikia wala kumuona...
4 Reactions
94 Replies
9K Views
Habar JF, Niende direct kwenye mada husika, nilimfanyia application za vyuo mdogo wangu, amepata NIT MECHANICAL ENGINEERING na SUA AGRICULTURAL ENGINEERING Kwa uelewa wenu na soko la ajira ipo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya social helth science. Yaan inahusiana na nini,upana wake na uhusiano katika soko la Ajira. Natanguliza shukran zangu za dhati[emoji120][emoji120]
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Guys kuna chuo huku iringa wanatoa short course za hii piaaa kuna hotel management for 6 month lakn wanasema ajira lazima Me nataka kuuliza wenye uzoefu na haya masuala ili nijue kama naweza...
1 Reactions
4 Replies
992 Views
Ushauri Wa Kuchagua kozi (program) ya kusomea Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua katika level ya degree > Aina ya kozi nzuri ya...
6 Reactions
26 Replies
9K Views
Mdogo ang kachaguliwa IFM programme ya IT wakat huo huo aliomba diploma akachaguliwa DPA Dar police academy programu ya MEDICAL LABORATORY nawaza hapa aende waaap aende degree ya IT Au aende tu...
0 Reactions
7 Replies
688 Views
Guys kuna chuo huku iringa wanatoa short course za hii piaaa kuna hotel management for 6 month lakn wanasema ajira lazima. Me nataka kuuliza wenye uzoefu na haya masuala ili nijue kama naweza...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Wakuu kwema. Naombeni mnisaidieni kwa anayejua chuo cha STEPHANO MOSHI MEMORIAL UNIVERSITY COLLEGE (SMMUCo) kilichopo moshi anielekeze vizuri ubora wa chuo hicho na reputation yake, mimi nataka...
0 Reactions
5 Replies
940 Views
Bachelor of computer science (mwenge university) Business information technology (MOCU) Urban development and management (IRDP) Environment disaster management (UDOM) agribusiness management and...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu nauliza kwa wenye kujua kufungua shule ya chekechea yaani (Day care&Nursery) unahitaji mtaji kiasi gani naombeni kwa anayejua na mahitaji yenyewe. N.B kama huwezi kuongea ushauri bila...
1 Reactions
1 Replies
817 Views
Hivi coz hii inahusu nini?
0 Reactions
3 Replies
736 Views
Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko. Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Naomba mnipe mawazo yenu juu ya hili jambo. Je ni ipi kozi nzuri katika kujiajiri na kuajiriwa kati ya mbili hizi?
0 Reactions
45 Replies
18K Views
Back
Top Bottom