Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Awali ya yote napenda kumshukuru muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yake. Ni matumaini yangu hamjambo na wote ni wazima wa afya. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 elimu yangu...
4 Reactions
89 Replies
29K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kujua ni sehemu gani naweza kupata review classes za CPA pamoja na kituo cha mitihani maeneo ya bukoba. Thanks in advance.
2 Reactions
3 Replies
950 Views
~ Ulysses by James Joyce. ~ Beyond Good and Evil by Friedrich Nietzsche. ~ Brother Karamazov by Dostoevsky. ~ Crime and Punishment by Dostoevsky. ~ One hindered years of solitude by Gabriel...
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Wadau, Nimeomba nafasi ya kusoma katika chuo cha ku-operate mitambo mikubwa pale kijitonyama dsm na nimepata nafasi, mtihani unakuja ktk soko la izo fani baada ya kumaliza kozi yangu ya miezi...
4 Reactions
25 Replies
14K Views
Mimi ni Medical Lab Personel nina Diploma ya taaluma tajwa hapo juu. Nimekuja mbele ya jukwaa hili nipate japo ushauri na maelezo yakunijenga. Nilipata wazo la kufungua maabara ya vipimo vya...
0 Reactions
1 Replies
315 Views
Kama kuna fundi au mtu anayefahamu sehemu ninayoweza jifunza ufundi radio, TV, pasi (electronics), tofauti na VETA coz veta hawana evening class msaada please Kilimanjaro
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Habari Wana Jamii_Forum,husika na kichwa cha habari hapo juu. Naomba kwa anayefahamu shule za wasichana za bweni za serikali azitaje pia ata kama ni za Co (Wavulana+wasichana) zitaje hapa chini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Amemaliza kidato cha 4. Akachaguliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti. Alisoma arts ana ufaulu wa division 3. Ameshindwa kuendelea na diploma ya education kwa sababu utaratibu hauruhusu. Anataka...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie ni wapi hapa DSM wanafanya mitihani ya TOEFL kwa ajili ya kwenda US? Kuna jamma yangu ana uhitaji. Thanks
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Habarini wakuu, poleni na majukumu mbalimbali yanayowakabili. Samahanini nimeandika Uzi huu kuomba ushauri nahitaji kwenda kuongeza elimu ya vitendo kidogo katika vyuo vya VETA infact kwa sasa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
.
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Wale wa lyamungo.
0 Reactions
39 Replies
15K Views
hebu 2kumbushane mambo\habari za kipindi kile unasoma kati ya shule hizi.mimi kitu nakumbuka ni bifu\ kati ya shule hizi iv bado lipo? hv asili yake ni nini?? mimi nipesoma lyamungo!
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Lyamungo secondary ni shule maalum? Na inachukuwa mwanafunzi mwisho division ngapi? Na kwa kombi za sayansi mwanafunzi anatakiwa awe na pointi ngapi kwenye kombi?
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari wana jukwaaa. Kijana wangu amepoteza cheti chake cha elimu ya kidato cha nne, kwa mwenye uzoefu na hili jambo hatua za kufanya ni zipi? Je, ataweza kupatiwa kingine?
0 Reactions
1 Replies
495 Views
Wandugu niko na mdog angu.pindi anaaply aliomba kuchukua clinical assistant2, now kaendelea na ordinary diploma lkn chuo husika wamegoma kumpa cheti chake ch level 5, ikiwa akuendelea masomo yake...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Samahan kwa wenye ujuzi nafanyaje make nilirudia kuomba second selection chuo cha mzumbe Sasa leo metumiwa sms kuwa niingie kwenye account Kuna information za kuwork on sa nilivoingia sijaelewa...
0 Reactions
8 Replies
672 Views
natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi nipo Urambo Tabora,nataka kwenda nyanda za juu kusini mawasiliano 0766766663
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi naomba niseme kwa sauti kubwa na bila kumung’unya maneno kwamba KWENYE KATA HAKUNA SHULE pale. Huwezi kuongelea SHULE mahali ambapo hakuna SHULE! Unajua shule ni nini? Shule inajumuisha...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom