Mufumo tulionao hauendani na maisha ya watanzania badara yakufanya marekebisho hapa munakimbilia lugha yakiswahili.
Madaraka ya kuanzia la Kwanza mpaka kidato cha Sita si lazima! Tunakiwa...
Habari wanajamvi,
Napata changamoto kwenye icho kipengele cha mwisho(kwenye picha) .... Ukizingatia field zote zimejazwa pamoja na attachments, lakini uki save inapop up iyo notification
Msaada...
Wadau na huzuni mwenzenu sijui nifanyeje mm ndo huyo Number psrs/22/4614/298 nmepata 55 Number 34 apo dah nmeumia wadau [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Habari mimi ni kijana Umri miaka 24 natafuta nafasi ya kazi ya ualimu wa Shule ya msingi, niko mkoa wa katavi wilaya Mpanda mjini.
Mawasiliano 0621364039 sms pekee au whatsapp namba 0687305692...
Wadau wa elimu nchini.
Ipo haja mitihani hii isimamiwe na NECTA ILI kuiongezea TIJA na mkazo mashuleni KULIKO ulivyo Sasa.
Napendekeza yafuatayo kufanyika.
1. RATIBA
Ratiba ya ufanyikaji wake...
Wana JF naomba msaada wa mawazo yenu. Nina mdogo wangu amehitimu kidato cha sita mwaka huu na kwa sasa yupo jeshini kwa mujibu wa sheria.
Kabla hajaondoka alisisitiza sana nimsaidie kuomba chuo...
Samahan Kama MTU ka disco chuo akafanya process zote za kujitoa kwa mfumo wa kutambulika kama mwanachuo ili aje aombe Tena maombi ya vyuo.
Kwa mfano alipewa mkopo anaambiwa arejeshe 25% je Kama...
Wakufunzi "leacture" awana uzoefu wa kazi alafu wafundishe watu kazi. "proffesion"
Huku ni kufanya elimu kukosa uhalisia na wanafunzi kusoma vitu vingi ambavyo ni useles sna vya muhimu wanaacha...
Habari!
Naomba kufahamu kozi tajwa hapo juu ni ualimu au ni kitu gani haswa?
Anaweza kufundisha Kiswahil au English kama walimu wengine au haihusiani kabisa na ualimu wa shule?
Kuna ndugu(HKL...
Huu ndio mwongozo wa degree programmes za engineering zitolewazo hapa kwetu!!
1) Civil engineering
Kwa hapa nyumbani (tanzania) hii kiasi flani ina upana sana katika kujiajiri na kuajiriwa...
Hello wakuu Naomba Msaada
shule nzuri ya MSINGI ya masister ya bweni iliyopo Dar
Ukitaja vitu vifuatavyo utabarikiwa..
1jina la shule
2mahali ilipo
na vingine vya MSINGI.
ASANTENI.
Nimesoma sheria, baada ya kumaliza nikarudi kijijini lakini sasa nikaona nachelewa kwenda shule ya sheria ya vitendo (law school), nimeamua kuja dar es salaam, nimefikia kwa rafiki yangu niliesoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.