Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Udom ina special thread/uzi wake nilitokea kuuona humu. Kwa nini haujawekewa 📌 sticky Ielekeweke umuhimu na heshima ya Chuo hili inabaki mokononi mwenu. Tunaomba thread Ile iwekewe pin. Uzi huu...
0 Reactions
2 Replies
502 Views
Lengo la Serikali ni kusaidia wananchi wake kwa makundi mbalimbali na serikali yenyewe ndo nyinyi katika idara za Elimu. Naomba mlitupie macho swala la uhamisho wa mwanafunzi wa sekondari na yeye...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Mwenye kujua format ya username kwa non-necta applicant wa mkopo bodi ya mikopo elimu ya juu anisaidie tafadhali, mfano format ya necta applicant ni S0143.0078.1990. Je ya Non Necta ikoje?
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Anayefahamu kuhusu hizi shule Rose Marie girls secondary school na Athena Secondary school zipo vizuri katika ufundishaji? Na preform one course yao ipoje? Kwa wenye watoto au ndugu waliosoma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa Cha habari kinajieleza vema, Mwenye kufahamu vyuo hivyo Jijini Mwanza naomba anipe Maelekezo na wilaya kilipo!!! Nawasilisha!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ukiwa na GPA ya 4.5 clinical medicine unaweza pata MUHAS
1 Reactions
57 Replies
7K Views
Katika moja ya makosa yaliofanyika ni uanzishwaji wa Shule za Kata, hizi Shule zimekuja kabisa kuua elimu nchini na mchango wa hizi shule kwenye kuzalisha wajinga ni mkubwa sana. Kabla ya Shule...
8 Reactions
73 Replies
5K Views
Ndugu wana jamii wa Jamii Forums, naombeni ushauri wenu katika hili. Nilipokuwa A-Level nilikuwa nina matatizo fulani shuleni na matokeo ya form 6 yalipotoka sikupata matokeo mazuri na naamini...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Ninaomba msaada kwa wale wajumvi wa haya mambo hususani katika kada ya Elimu. Kumekuwa na ucheleweshwaji mkubwa wa kubadili muundo wa utumishi hasa walimu baada ya kujiendeleza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nikitaka ku print form ya signature and declaration baada ya kujaza all fields katika kuomba mkopo HESLB inasema picha ya grantor uliyowepa can not be printed. Solution yake ni please? Nime...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ukipewa mkopo 100% ile admition fees unailipa wewe au nayo unalipiwa?
0 Reactions
10 Replies
683 Views
Vijana wengi form six leaver hawana card ya NIDA hivyo huanza kuitafuta pindi wamalizapo shule kwa ajili ya loarn application. Hata hivyo card ya NIDA haipatikani ndani ya mda kinachopatikana...
1 Reactions
9 Replies
833 Views
Habari wadau,naomba ufafanuzi wa hiyo diploma maana nasikia imeanzishwa mwaka huu katika Chuo cha AMUCTA_TABORA kwa wahitimu wa kidato cha sita.
0 Reactions
7 Replies
662 Views
Elimu ya sasa wanafunzi huandaliwa kufaulu mitihani bila kukuza uwezo binafsi walionao hali inayoua vipaji vya wengi na kutokomeza ndoto za watoto kadhaa waliopo nchini. Mfumo unaotumika kwa sasa...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na kinachangia 80% ya pato la Taifa, ni vyema Serikali ikalifanya somo hilo kuwa la lazima ngazi zote za shule. Pia kwa upande wa TEHAMA tunaona...
0 Reactions
1 Replies
505 Views
Nimemaliza diploma kutoka college ja ndoto zangu ziko in computer science najua programming languages kadhaa inshort najua field hii inataka nini. Ila changamoto ni chuo kipi kitanifaa kwa level...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani wakuu mnisaidie hapa tujulishane kuhusu vyuo vya afya vya jeshi vipoje make sivifaham kbc hata vipoje Kama Kuna mtu anauelewa atupe ma concept.
0 Reactions
2 Replies
570 Views
Habarini wadau ! Naimani mpo poa na wazima wa afya , nlikuwa kati ya waombaji wa mkopo mwaka huu ujao wa masomo. Baada ya uhakiki leo nimepata list kwamba - APPLICANT IDENTIFICATION DOCUMENT iko...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Wakuu salaam. Nimeomba kujiunga na chuo kikuu Dodoma. Tangu tarehe29 hadi leo sijatumiwa cotrol number ili niendelee na mchakato. Nimepiga namba zao ila bado sijapata msaada. Kwa mweny uwezo...
0 Reactions
3 Replies
455 Views
Back
Top Bottom