Jaman et uki apply diploma first selection ujawa selected ukienda pale NACTE kwenye tovuti yao upande wa afya wanasema congratulations unechaguliwa chuo fulan
Mimi kama sijaridhika naweza ku...
Habari wakuu, nimepita mtandaoni nikakutana na hiki chuo kinachoitwa "EAST AFRICA STATISTIC TRAINING CENTER" Chuo hiki kipo DSM miongoni mwa kozi nilizoziona ni OFFICIAL STATISTICS pamoja na DATA...
Kuna kitu nashindwaga kukielewa nimehitimu VETA Udereva, Nina leseni , cheti cha form iv lakini nakutana na hiki kitu kwenye matangazo ya ajira GRADE TEST, GRADE I& II& III hii ikoje? Ni kozi...
Msaada msaada msaada!
Namsaidis kuapply chuo UDOM ,
Nimejikuta na submit kabla ya kurekebisha
Nimeruka kipengele cha ku-attach docs...
Application isha submitted. Ntafanyaje
Hellow kwenye hizi selection za Diploma mdogo wangu kachaguliwa Dar es Salaam Police Academy Medical lab. Hiki chuo kiko wapi kwa Dar?
Mwenye kukifahamu vipi mazingira yake yanafana?
》We sleep inside while others sleep outsides this is cruel thingvwe do everyday. We forget most of us 18+ we are homeless just because of our parents or relatives can help us.
And we all we don’t...
Kwanza hongereni kwa kufaulu Mitihani yenu ya Kidato cha Sita.
Kwa wale mliofeli poleni , ndio maisha hayo.
Nije kwenye mada,
Nawashauri tena Mapema kabisa, hii kozi inayoitwa Bachelor of...
Je, mwanasheria wetu Bongo wana jua vizuri hesabu au ndio kula lala faulu background, kuachana na wazamani kama akina Issa Shivji?
Making of a senior counsel: Prof Tom Ojienda
You are one of the...
Nimejikuta nakumbuka enzi hizo nikiwa 825 MTABILA, mujibu wa sheria OP KIKWETE (2015) hiyo. Nilikua kombania B (Bravo Coy) chini ya Luteni Lusui (naskia kwa sasa ni Captain), alikua mtu mmoja...
Habari wakuu,
Ningependa kufahamu kiundani kuhusu hii kozi ya Master of science in Health Informatics inayotolewa na UDSM.
Kwa aliyemaliza kozi ya afya anaweza kumudu kozi hii inayohusisha...
Wanajamvi tumeshuhudia wasomi wengi wanaomaliza vyuo tofauti wakianza harakati za kutafuta ajira huku wengine wakijiajiri wenyewe kutokana na sababu tofauti ikiwemo kutaka manufaa makubwa ama...
Habari wakubwa kwa wadogo.
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka 2021 na alipata division two ya point 18 nikataka aende kusoma course ya afya (clinical medicine) (CO) Ila selection zimetoka...
Tuambie Chuo ulichosoma huenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana naye.
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha.
Hii itakuwa njia moja ya kukutana na classmate...
Sijabahatikaga kusoma mpaka elimu za juu ila nimekuwa najifunza kwa waliosoma.
Kwa miaka kadhaa nilikuwa naona majamaa na marafiki wakijiunga kusoma elimu za masters zile za baada ya muda wa...
Habari zenu wakuu, naombeni mwenye notes nzuri za computer skills& information za mwaka wa kwanza za diploma in medical lab pamoja na mitihani mbalimbali ya masomo yote either 1St, 2nd or 3rd...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.