Ningependa mtu ambae ana link ya jinsi ya kulog in udom make kila nikijaribu inashindikana na nifanikiwa kuingizs taarifa zangu inaniandikia invalid username or password lkn taarifa ninazoingiza...
Jamani kutokana na changamoto za ajira kuwa na safari nyingi, pamoja na usumbufu wa dada wa kazi mara leo yupo wiki ijayo anataka kuondoka, naomba kujua mwenye kujua shule nzuri ya bweni kwa...
Naomba ambaye amesha confirm SUA admission anisaidie how to do it. Naweka user name, PW to get into my inbox for joining instructions and confirmation vinakataa. Nawapigia simu anapokea mtu...
Wapenda naombeni msaada kwenye hili.
Hivi ninaweza kutumia namba za simu tofauti katika maombi ya mkopo wa elimu ya juu na maombi ya chuo
Hususani katika maswala ya kulipia kupitia control number...
Nahitaji msaada, eti kozi za "bachelor of laboratory and science technology" na "clinical food" (at MUST) katika nyanja hii.
- ianahusiana na Nini
-Soko lake la ajira
- namna ya kujiajiri
Hellow wapendwa samahan na poleni na majukumu
Nilikua napenda kuuliza hiyo kozi tajwa hapo juu Bachelor of science in chemistry ni ualimu au ni nini??
Yeyote Mwenye kufahamu anifamishe msaada
Habari zenu wana JF
Kama kichwa kinavojieleza naomba kujua kipi bora kati ya kumaliza diploma (NTA6) na kuendelea Bachelor degree mwaka unaofuata au kumaliza diploma (NTA6) na kujipa muda kufanya...
Ni shida ya vijana wengi wa Taifa langu pendwa la [emoji1241] kwani watu tunasoma hadi elimu ya juu lakin bahati mbaya hatujui tunaenda soma nini baada ya kuhitimu sana sana kwa masomo mageni kama...
Naomba kueleweshwa kuhusu Kozi za Kitivo cha Afya hususan kwa Tahsusi ya CBG.
Nafahamu hawezi kusomea Uganga, kwa maana ya Doctor of Medicine, au Uuguzi. Ila, Kozi kama
1. Pharmacy
2. Midwifery...
Naombeni ushauri ndugu zangu nahitaji kujiunga na degree nimemaliza diploma ya procurement and logistics management TIA MWANZA campus.
Sasa nimetuma maombi vyuo viwili mpk sasa TIA NA CBE MWANZA...
Huu ni mwongozo ambao nimeandaa hasa kulingana na hali mbovu ya ajira katika nchi yetu!! na hizi ni kozi ambazo ni rahisi kujiajiri hasa katika mazingira haya ya Tz ya viwanda na ukosefu wa...
Kijana yupo dillema, anaomba ushauri wa wadau wenye uzoefu ili isijetokea akaharibu huko mbele.
Amechaguliwa Course zifuatazo na ana hitaji aconfirme mojawapo.
UDSM - GEOMATICS
UDOM - MINNING...
Habari samahani,
Najua humu ndani kuna wasomi na watu wenye mawazo mapana.naomba ushauri mtoto wenu,mdogo wenu nmechaguliwa vyuo vitatu tofauti.
Course tofauti moja ni business administration...
Habari za muda huu wana JF, nilitaka kufahamu kuhusu hizi kozi mbili zinahusu nini haswa, na ushauri pia ipi itakuwa poa kupita nayo.
1) Bachelor of Engineering in Data Science (MUST).
2)...
Habari zenu
Nimehitimu diploma ya crop production and management sasa nataka nikasome degree nakasomee nini kati ya hivi
*crop production and management
*Agronomy
Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea.
Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.