It is normal for students to dislike examination. However, that situation is not unique to anyone and can be easily dealt with.
Therefore, to manage exam phobia 9 fear for exam) so that the you...
Wataalam wa elimu naomba nipate ushauri hatua za kufuata. Nna mdogo wangamemaliza sekondari shule za Kenya mpaka darasa la nane Sasa anataka kuja kuanza KUJIUNGA na chuo hapa bongo.Walaam naomba...
Leo Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya kidato cha 2,4 na mitihani ya ufahamu kwa wanafunzi wote waliofanya hiyo mitihani mwaka 2021.
Mwezi june 2022 itatutangazia matokeo ya form 6 pia...
Habari za leo WanaJF,
Rejea, kichwa cha uzi hapo juu.
Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website...
Habari za asubuhi ndugu zangu,
"Naitaji kujiunga na open university (OUT) Sasa nimeambiwa nika hakiki vyetu vyangu NACTE kupitia website yao nikiingia kweny hiyo website Sioni mahara hakuhakiki...
Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit,
Nimejaribu...
Habarini wana jamvi,
Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C.
Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
Kwenu wanabodi.
Msaada. Ninatamani kuongeza maarifa bila kujali ajira (sina hitaji hili) kwa kusomea saikolojia teolojia na falsafa hasa hasa online, hata short course (kama ipo).
Kama ipo kwa...
Kama hulka yetu wanadamu kutokuyafahamu yajayo naye hakujua kama hiyo ndio ingekuwa chanza cha mabadiriko yake ya kifikra. Kwanini?... Endelea kusalia nasi...
Wasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata...
Habari zenu wakuu,
Mdogo wenu nashukuru nimemaliza salama mtihani wangu wa kumaliza kidato cha sita natumaini nitafaulu vizuri.
Naomba mnipe maelekezo juu ya mambo ya kuyazingatia ninapoelekea...
Nipo njia panda ni mwezi sasa, sijui niende chuo gani. Usiku na mchana nachakata ubongo wangu kisha nalala.
Katika kufanya application za vyuo mbalimbali duniani nimebahatika kuchaguliwa vyuo...
Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.Karibuni🙏
Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi.
1. Software developer
2. Database administator
3. Network...
Mimi ni kijana wa miaka 25. Ninapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Nilikuwa mwanafunzi wa chuo lakini imetokea nimedisco chuo.
Nahitaji ushauri wa nini nifanye maana naona kama nimevurugwa kwa...
Hiki chuo ni chuo cha ubabaishaji wa hali ya juu unabaishaji wa kwanza unaanzia kwenye ada.
Tangazo lao linasema ada ni 1.8M lakini ukija kusoma utalipa takribani milioni 3 na mwaka huu ada...
Kwema Ndugu Zangu?
Mimi ni Mhasibu, elimu yangu ni Degree ya Uhasibu. Nimefanya kazi mbalimbali za uhasibu lakin naona kama nahitaji kusoma zaid, ili nipate changamoto mpya zaid na pengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.