Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Salaam Wadau, Nimejiuliza tu. Kuna wanafunzi wengi wananufaika na mikopo inayotolewa na Serikali anbao wapo vyuo vikuu. Hili ni jambo jema sana. Lakini, mfumo wa sasa, ambao wanufaika wanasoma...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Kwa mfano ukiwa diploma ya kozi fulani, je unaweza kujiunga na degree nyengine yoyote? Ama kuna vigezo vinaangaliwa kwa kozi ambazo are the same family? Na je Diploma za kozi zipi ukisoma unakuwa...
1 Reactions
14 Replies
25K Views
Husika na mada tajwa hapo juu, naomba msaada kwa yeyote ambaye yupo au alikuwepo Makerere University, nafanya applications hapa, malipo inakuaje (applications fee), nipo Mwanza, Tz.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii kozi wahitimu wake wengi naona wanaishia kufanya kazi za sales kwenye makampuni ya kichina na kulipwa ujira kidogo sana. Hivi IFM waliianzisha kwa madhumuni gani haswa?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
NI MUDA MUAFAKA SASA SERIKALI IHAKIKISHE KILA SHULE INAKUWA NA KISIMA CHAKE. Wakuu habari! Nikiwa kama mdau mmojawapo wa masuala ya kielimu, nalazimika kuleta mawazo yangu hapa jukwaani ili...
1 Reactions
1 Replies
714 Views
Ni shida ya vijana wengi wa Taifa langu pendwa la [emoji1241] kwani watu tunasoma hadi elimu ya juu lakin bahati mbaya hatujui tunaenda soma nini baada ya kuhitimu sana sana kwa masomo mageni kama...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Math Quiz Here is a brain teaser: Quantitative Reasoning. A house wife forgot her bank 'ATM PIN' which is a four digit number, but luckily she remembered some hints on how to recall this 'PIN'...
4 Reactions
60 Replies
8K Views
Nina mdogo wangu ana degree ya Ualimu na ni mwajiriwa Tanga. Kwa sasa anataka kwenda kusoma diploma ya quality assuarer au physical education. Je, kipi Bora na chenye tija Kati ya hiv vitu viwili?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je, ni nini adhabu ya mwanafunzi ambaye hajafanya UE bila kutoa taarifa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Yani ndugu zangu mimi ni mmoja wa waathirika wa uhujumu na ukosefu wa uadilifu na ubora wa elimu katika chuo cha udaktari kilicho anzishwa na UDSM wote tutakubaliana kwamba, kwa udaktari unatolewa...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Hello guys, Naitw Francis Abdul, nimeanzisha Platform Ina itwa Schoolvalue99
1 Reactions
3 Replies
320 Views
Ni shida ya vijana wengi wa Taifa langu pendwa la [emoji1241] kwani watu tunasoma hadi elimu ya juu lakin bahati mbaya hatujui tunaenda soma nini baada ya kuhitimu sana sana kwa masomo mageni kama...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Je naweza kusoma digrii mbili katika chuo kimoja?
0 Reactions
4 Replies
357 Views
Nisaidieni kozi nzuri ya education tafadhari
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Habari naomba kuuliza Kwa ufaulu huu wa advance level physics-D chemistry-C biology-C naweza pata course ya medical laboratory Kwa ngazi ya degree
0 Reactions
6 Replies
863 Views
Jamani nilikuwa nauliza mfano nikiwa mwanafunzi wa diploma nikataka kuapply tena chuo kingine ni mpaka nifute usajili na je kama mpaka kufuta usajili nafutaje usajili wangu chuoni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani napenda kuuliza hivi majibu ya maombi kwa waliomba awamu ya pili ambayo tangazo lilisema yataanza kutoka kuanzia tarehe 20/6/2022, tiari kwenye account za wengine maana yangu kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ana IV ya 26. Alikua anasoma Art, masomo saba. Katika hayo masomo ana C tatu ya English, Kiswahili na Biology. Masomo mengine ana D zote na Maths ana F. Je huyu anaweza soma advance kwa shule za...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Chuo kipi kizuri Dar kwa kozi fupi za Microsoft office nk na bei zake na timetables zao
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom