Nataka kusoma kozi ya bachelor of science in urban and regional planning kada yangu ni mwalimu nifanyeje? Nimepata kibali cha kwenda kusoma.
Nisaidieni.
Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi
1. Software developer
2. Database administator
3.Network...
Mimi ni 3rd year mzumbe Moro BAF, nataka niunge MAF Mzumbe dsm campus au MBA finance UDSM.
Ninaomba neno la shauri katika haya machaguo. Pia kwa upande wa MAF dsm nilitaka nijue mazingira pale...
Wakuu napata utata kati ya kozi hizi mbili ngazi ya shahada naomba ufafanuzi...
1. Ni ipi ni rahisi kufanyiwa recategolization kwa in service?
2. Ni ipi kazi zake zina mshahara mkubwa...
Ni mwaka 2015 nilipohitimu chuo cha ualimu na kurudi mtaani kusubiri ajira,kwa bahati mbaya raisi wa kipindi hicho alisitisha ajira kwa miaka kadha na sababu kuu ikiwa watumishi hewa, basi...
Mimi ninasoma pcm advance ningependa kujua kama nitaweza kupata nafasi kusoma degree ya pharmacy chuo kikuu,mimi nilikua na malengo na pcb lakini nipo pcm kutokana na influence ya wazazi
MH.KAWAMBWA KATIKA UTOAJI WA TUZO KWA WANAFUNZI BORA KIDATO CHA NNE 2013
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. SHUKURU KAWAMBWA (MB) KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA...
Msaada natafuta shule nzuri ya english medium ambayo inapatikana wilaya ya Kinondoni na maeneo jirani ya Mwananyamala hadi Makumbusho.
Ada kwa mwaka isizidi milioni moja na nusu.
Kuna dogo mmoja amehitimu diploma ya laboratory technology pale DIT, je anaweza kusomea degree ya medical laboratory? au ni course ipi nzuri anaweza kusomea?
Wapendwa me napenda kufahamu je kwa mtu mwenye uhitaji wakusoma nje katika nchi zilizo wekwa hapo juu.
Je afanyeje ili aweze kupata na je huwa Kuna taratibu na hatua zipi anatakiwa kuzifwata ili...
Hawali ya yote mimi niipongeze serikali ya Mama na Wanawe kwa kuthubutu kutoa ajira kwa vijana . Pia niwape pole kwa vijana wenzangu ambao bado hatujabahatika lakini ninawapongeza pia kwa...
Amani iwe nanyi Wakuu,
Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.