Salam Wakuu.. Naombeni ushauri kuhusu hizo course mbili tajwa hapo juu ikiwa ni pamoja na requirments, vyuo hapa tz vinavyotoa, competition kuzipata, na soko la ajira.. Natanguliza shukrani zangu...
Nyie malecture badilikeni, mnakua na vipindi asbui alafu mnasema mna emergency mnavisogeza mpaka jion...
Hamjui mnafundisha watu wazima, wanashindwa kututimizia mahitaji yetu kwa sababu ya...
Habari wakuu.
Natumai wote ni wazima.
Moja kwa moja niende kwenye hitaji.
Nahitaji kujua juu ya kozi hii ya mechanical engineering lakini juu ya swala la kujiajiri ki binafsi mtu anaweza vipi...
Naomba kupatiwa uzoefu kwa wale waliowahi kudisco Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, hasa kwa wale kwenye cases tofauti ya kushindwa kufikisha GPA.
Mimi sijafanya mtihani wa Semester one, Kwa kukosa...
Nina mdogo wangu amemaliza elimu ya kidato cha sita mwaka huu. Anasubiri kuomba nafasi kusoma chuo. Amemaliza PGM wakuu naombeni mawazo yenu asome kozi gani.
Yeye anapenda mambo ya anga. Nmepitia...
Salaaam.
Wajumbe naomba ushauri kwa mwenye kujua kitabu ninachoweza kumpa mtoto wa shule ya msingi ili asome apate kuwa na maarifa makubwa ya kidunia (Ujasiriamali, au critical thinking)
Chuo cha DIT inabidi wajitathimini kwa changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wao hususani katika mambo ya IT. System yao ya matokeo ya wanafuzi haipo stable kabisa, yaani unaweza ukakuta matokeo...
Habari zenu wakuu,
Mwaka jana nilileta shida yangu hapa watu wanishauri kuhusu mimi kurudia mitihani yangu ya kidato cha nne..
Watu walinishauri vizuri sana, licha ya kuwa na kazi lakini...
Wakuu heshima kwenu!
Nahitaji msaada nikikumbuka enzi zile za hadith machozi yanataka kutoka sis tulio weza kusoma hadith mbalimbali leo hii katika ulimwengu wa sasa hatuoni watunzi mahili kama...
Miaka ya hivi karibuni, kumeibuka mitihani ya sets kwa madarasa ya mitihani.
Mitihani hii inaonekana kuwa ndo suluhu ya kufelisha watoto kwenye mitihani ya kitaifa, walianza taasisi binafsi na...
Kwa Dunia ya sasa hasa hapa kwetu (Tanzania), ni courses zipi ambazo Mtu akisoma zinamuweka katika nafasi nzuri ya kuajiriwa au kujiajiri.
Ahsante, karibuni...
Kuna Hali imenifikirisha kidogo kuhusu Dunia.
Huwa tunaona Mara nyingi mvua zikinyesha au vimbuka vikali mchanga husombwa kutoka milimani kuja tambarare hii hutotokeza enzi na enzi.
Swali: Kwa...
Naitwa FEBIANI BABUYA ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu Degree ya Masoko na Uhusiano wa umma/ Marketing and public relations kama unahitaji ushauri kwenye hilo usisite kunitafuta pia kama kuna mtu...
Habari za wakati huu wadau wa elimu, mimi ni kijana ninaye jihusisha na utoaji huduma ya afya kwa njia ya mitishamba, nimefanya kazi hii kwa mafanikio makubwa. Imefika wakati nahitaji huduma yangu...
Miaka mitatu iliyopita dogo alimaliza kidato cha sita. Akafaulu, akiwa ajiandaa kujiunga na chuo. Dingi akamwambia dogo asomee sheria (bachelor of law). Dogo akamkubalia dingi, na kweli aka apply...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.