What is 934,752,213,849,592,139,365,634 in words?
Swali lijibiwe kwa kizungu, kiswahili tutachanganyana
Ukipatia ipo shilling elfu 50 za kitanzania, serious
jaman ndo nch yetu. Kuna kijana Wng ali-apply Medical assitant lakn mpaka leo wizara ya Afya haijatoa majina kwa waliochaguliwa ktk hiyo course
Nashndwa kuelewe iweje watoe majina ya course...
Wakuu habari za majukum.
Ninaomba msaada wa kutajiwa shule nzuri kwa ajili ya mdogo wangu wa kike, iwe girls tupu au mchanganyiko.
Ikiwezekana kutajiwa na ada itapendeza zaidi.
Nawasilisha.
Msaada wana jamii ni wapi kuna maslahi mazuri ya malipo/kipato (mishahara na posho) kwa ngazi ya degree taasisi za serikali hizi
1. PURA.....As geophysics
2. Ocean road Hosp......as medical...
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA tawi la Chuo Kikuu cha St.Augustine (CHASO-SAUT) Bw.Malisa Godlisten ameshinda kwa kishindo urais wa chuo hicho licha ya mizengwe mingi iliyokuwepo. Malisa...
Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu!
Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo...
Naomba kujua zaid juu ya fields of application za BLS.
Wanaweza kufanya kazi Medical laboratory?
Wanakibali cha kumiliki Health laboratory na kuziendesha?
Wanaweza kufanya kaz viwandani ie...
Dogo kamaliza form six hajachaguliwa kambi yoyote ya JKT anataka ajipeleke mwenyewe maana anapenda sana ahudhurie mafunzo hayo je wanaweza kumpokea kweli na kumsajiri kwa ajiri ya mafunzo?
Please mwenye Vitabu vifuatavyo karibu inbox tufanye biashara:
1. PMBOK® Guide – Seventh Edition -
2. PMP Exam Prep Simplified: Covers the Current PMP Exam and Includes a 35 Hours of Project...
Je, ni nchi ngapi kwa hivi sasa zenye elimu bure kwa wote kuanzia primary school hadi high school katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na SADC kwa ujumla?
Hapa namaanisha shule ambayo wanacover shule ya msingi kwa miaka 6 na kufanya mtihani wa taifa. Au ambayo masomo ya form one hadi form four wanacover kwa miaka mitatu na kufanya mtihani...
Nina ndugu yangu ni mhitimu wa degree ya marketing
Nilikuwa nahitaji mtu yoyote ambaye anaweza kumsaidia kumuunganisha kwenye ajira hususani katika makampuni binafsi
Ni hayo tu Wakuu, pm yangu...
Habari za mda huu wana ndugu wa JF,
Kuna kozi pale open university inaitwa Bachelor of science in Energy Resources hii kozi inahusu nini na fursa zake ni zipi?
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza Hapa UDSM, nasoma LLB,
Mwaka wangu hapa chuoni umekuwa mchungu kimasomo, Loan Board wamenilipia Tsh 400500 pekee kati ya 150000, ya ada kwa mwaka.
Hali...
Habari za muda huu wanajamii forum!
Kama tunavofaham kuna baadhi ya nchi hazitumii mfumo wa GPA badala yake zinatumia Percentage au scale.
Swali langu ni je kuna utaratibu wa kuconverte...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.