Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu habarini za weekend, Samahani naombeni msaada simu yangu ilizingua na kwa bahat mbaya nimepoteza PDF ya kitabu hicho, hivyo naombeni mwenye link yake anisaidie niweze kukishusha tena...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu Naombeni msaada wa shule nzur ya private kwa dogo wa kiume zilizopo mkoa tajwa hapo juu...nina uwezo wa kuzichanga 3m kwa mwaka.Asanteni
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wanaJF. Kijana wangu matokeo yake ya form 4, ni kama ifuatavyo civics C,History D, Geography D,Swahili C,English D,Biology D,Math F. Je anaweza kupata kombi gani hapo ya kuendelea na form...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya usiku wadau wa elimu Kwakweli nimepatwa na mshtuko mkubwa juu ya shule hii ya sekondari ya serikali ya WAILES iliyopo temeke mwisho kufelisha watoto 187 kushindwa kuendelea na kidato...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Naomba mwenye uelewa kama kuna uwezekano wa mtu aliyesoma masoma ya bodi za wataalamu kama PSPTB na NBAA nk, wanaweza kujiunga na vyuo hapa Tz bila kua na matokeo ya form six au diploma na pia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa form four alipata division 4 ya 28 then skasoma Certificate Diploma Bachelor degree
0 Reactions
2 Replies
428 Views
Wana JF naomba sample jinsi ya kujitambulisha kiingereza na kuelezea elimu yako,natanguliza shukrani
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jf Kwa wale walio walimu tafadhali naomba mwenye sample ya written lesson plan au hata scheme of work anipe nahitaji baadhi ya hints atleast nipate starting point.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Zibaki Div 1, 2 na 3. Just imagined matokeo ya mitihani ina range from point 7 hadi 35 Kwa O level. Uwingi wote wa nini? A level point 3 hadi 20s huko. What the meaning of all these many...
3 Reactions
6 Replies
715 Views
Kwa wale mliosoma Tosamaganga Iringa naomba mjitokeze popote pale mlipo ili tuweze kuikumbuka shule yetu na kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kushirikiana na uongozi wa shule yetu ili kuiboresha...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Msaada. Binti yangu amechaguliwa shule zote mbili, ipi shule bora na sababu na mapungufu Ahasante.
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Shule 10 Bora Kitaifa kwenye matokeo ya Kidato cha nne yaliyotangazwa leo January 15, 2022 na NECTA 1. Kemebos - Mkoa wa Kagera 2. St. Francis - Mbeya 3. Waja Boys - Geita 4. Bright Future Girls...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Wandugu habari za jumapili,naombeni msaada kwa anaejua kituo kizuri Cha CPA review kwa hapa kamaha anijuze,naombeni sana
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Wametangaza Matokeo. kitado cha Nne 2021 https://matokeo.necta.go.tz/results2021/csee/csee.htm Kidato Cha Pili (FTNA)...
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Shida ni nini wakuu. Watoto wanashangaa,wazazi tunashangaa. Shida nini??
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Salaam! Baraza la Mitihani ya Kitaifa linajiandaa kutangaza matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne ulifanyika mwishoni mwa mwaka 2021 (CSEE). Pamoja na Mtihani wa Upimaji kidato cha Pili...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
MWENYE MAWASILIANO NA NO YOYOTE YA UONGOZI WA SHULE YA JANGWANI AU KISUTU NAOMBA MSAADA WA NO YAO. Ahsante.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NECTA wameandika matokeo ya Kidato cha nne na Upimaji wa kidato cha cha Pili na Darasa la Nne 2021, yatatangazwa hivi punde kaa tayari ndio mida hii. All the best Comrades, see you at the top...
11 Reactions
262 Replies
43K Views
Back
Top Bottom